Hapo nilikuwepo, nilimsikia akiimba kichina huku akitukana, "Jitu nyeusi jinga sanaa, nimemaliza nyoka na chura yao Manyoni wao nabakiwa na Nyama ya ng'ombe na mbuzi peke yake", verse ya pili akawa anaimba, "na bado nimezalisha dada zao wengi kule Temeke wakati najenge Stadium kubwa, ndio maana sasa ukipita Temeke kila kona taona toto dogo yenye vimacho ndogo na sura ya kichinaaaaa..hahahahahahahaaaaaaa."
Nimechoka kuwa na uso usio na makovu nini? Nilipowatonya jamaa wakayeyusha nani anapenda msala, kwani kanitukana mimi peke yangu?Halafu ukamuachia aendelee na matusi yake!!!!