Mweh?

Mweh?

Mmechelewa Sana kuja mjini.
huo ni urembo wa mwanamke sisi wanaume wa pwani ndo tunapenda.
Oa mwanamke wa gharama ili uwe peke yako.
Ndivyo unavyojidanganya eennhh?!!!.Kwa taarifa yako wewe utafanya kazi ya kumremba weee!!!,lkn kuna Wahuni wanuka jasho la kikwapa wanamuinamisha fresh tu bila kumpa hata mia huyo mkeo, zaidi sana huyo mkeo atachukua pesa unayomwachia na kumpa mchepuko mnuka jasho.
 
Aliemuandikia anajua anao uwezo wa kumudu hizo bills.

Ukiwa kapuku,
ukikutana na huu ujumbe utatutakana kila Aina ya matusi na laana.

Na huenda hata iddi usifike,
Tukakuzika mapema kwa stress za kuitafuta iyo pesa[emoji4]
 
😊
'Makisio' = 1,195,000/-
Aisee!
Tupia kapicha ka huyo mchepuko basi tuone kama kuna uwiano!
Huyu hapa
IMG_20220219_201927_174.jpg
 
Niliwahi okota simu.

Simu ikawa ina videos za mmiliki. Kwa kupitia vids na pics anaonekana anasoma chuo.

Moja ya video yake alikua anachukuliwa video na mshkaj huku yeye akihesabu pesa.

Alihesabu laki nne.

Yule binti akamuuliza mchizi mbona unanipa laki nne halafu haitoshi?

Akampigia hesabu za mabaibui. Manukato. Madera. Na viatu. Na alichomaanisha ni kwamba siku hiyo atabadilisha mavazi na manukato kuanzia wanaanza sala mpaka muda wa kusherehekea.

Nikasema huyu binti kama anaspend 400K kisa mavazi hashindwi kupata simu mpya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom