donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
😊
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4]
'Makisio' = 1,195,000/-
Aisee!
Tupia kapicha ka huyo mchepuko basi tuone kama kuna uwiano!
Je, alipewa hiyo pesa? Kama uwezo anao basi hiyo ni cha mtoto, lakini kama ni kama sisi tunaoshinda mitandaoni, basi wajiandae kuuza nyumba kama wanayo.
Hawezi akawa mke huyu. Huu ni Mchepuko ++
Nilipoona vikuku tu nikajua ni Malaya
Lol.Huyu ndo mke wa kuoa sasa
Kuna mmoja hapa jirani kapewa 50,000 kaambiwa hiyo ndo kila kitu kuanzia nguo, viatu, chakula na nguo za watoto😅😅
Lol.
Sawa sawa.kila kitu kinachonishinda CLASS na LEVEL.
Hadi mke wangu aniandikie hivyo ni wazi level zangu zimekuwa kubwa kwamba najiweza.