Mweeeh! CCM Jamaniii

Mweeeh! CCM Jamaniii

Huo si ni muda wa kurelax na starehe , nyie watu msiwe so biased!
 
Huyo jamaa hapo nyuma ni lusinde.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
wanapokatika hapo JOSEPH JOSEPHAT na MIGULO CHEMBA wameshajibebea wake za watu wako room.
 
attachment.php

Nambari wani eeh nambari wani, nambari one ni ccm. Pwani TIENI TIENI TIENI TIENI uhuru umoja nambari wani nambari wani ni ccm
 
Na mkutano dodoma ukiisha lazima wakajimwayemwaye
 
huyo jamaa alobambia kafanana na yule mbunge mitusi cjui aitwa nani yule jamaa wa mtera mwenye kipaji cha taarabu
 
Back
Top Bottom