Mwe! Hawa watoto vipi tena!

Na mpiga picha alikuwa mtoto nae..
 
aisee huo udhalilishaji kwa watoto, kwanza huyo aliyepiga picha hyo ni mshenzy, kama hayo mambo yeye mtu mzima anafanya kwa siri iweje leo watoto awaweke hadharan?
Haiwezekan, naenda mahakaman
ukiona hicyo ujue hata watu wazima wao hawafanyi kwa siri
 
I think mmoja atakuwa wa nay wa mitego, mwingine wa shamsa ford au?
 
hapana bana wanacheza ule mchezo wakupuliza tumbo
 
Tatizo la kupanga chumba kimoja!! Ila ni ugumu wa maisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…