Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 167,155
- 185,435
Na mpiga picha alikuwa mtoto nae..Michezo ya baba na mama wanayoshuhudia usiku. Vitoto vya umri huo huwa ni vijanja sana huwa vinajidai vimelala kumbe vinasikia na kuona picha yote. Kuna kamoja nilikasikia kakimwambiwa mwenzake, kila siku mama anapigwa na baba analia kwa sauti ndogo lakini jana bwana kumbe mama naye ana nguvu kampiga babaaaa, mpaka nikashanga mimi nilikuwa nacheka kimya kimya wakati baba anapigwa. Kumbe siku hiyo wazazi walibadili staili