Mwe! Hawa watoto vipi tena!

tamimusalim

JF-Expert Member
Jun 17, 2014
1,822
498
ImageUploadedByJamiiForums1455947984.184947.jpg
 
Hako katoto ka kike ni kadogo lakini kamejuaje kanatakiwa kakae hivyo na kumshika mwenzake kichwa namna hiyo.. akiua...
 
May be hiyo picha sivyo inavyoonekana. Inawezekana walianguka wakawa katika poz hilo. Ila kama ni wanafanya kama ilivyo kazi ipo kwa kulea kizaz hiki
 
aisee huo udhalilishaji kwa watoto, kwanza huyo aliyepiga picha hyo ni mshenzy, kama hayo mambo yeye mtu mzima anafanya kwa siri iweje leo watoto awaweke hadharan?
Haiwezekan, naenda mahakaman
 
wanacheza wkaangukiana bahati mbaya.. acheni kuwafikirishia watoto dhambi
Nani tena kawafikirishia dhambi? Si kuna ile michezo ya watoto ya mmoja kuwa baba na mwingine kuwa mama? Na si mara nyingi wanajaribu kuigiza kuongea na kutenda kama walivyosikia na kuona wazazi wao wakifanya?
 
Hako katoto ka kike ni kadogo lakini kamejuaje kanatakiwa kakae hivyo na kumshika mwenzake kichwa namna hiyo.. akiua...
Michezo ya baba na mama wanayoshuhudia usiku. Vitoto vya umri huo huwa ni vijanja sana huwa vinajidai vimelala kumbe vinasikia na kuona picha yote. Kuna kamoja nilikasikia kakimwambiwa mwenzake, kila siku mama anapigwa na baba analia kwa sauti ndogo lakini jana bwana kumbe mama naye ana nguvu kampiga babaaaa, mpaka nikashanga mimi nilikuwa nacheka kimya kimya wakati baba anapigwa. Kumbe siku hiyo wazazi walibadili staili
 
Nani tena kawafikirishia dhambi? Si kuna ile michezo ya watoto ya mmoja kuwa baba na mwingine kuwa mama? Na si mara nyingi wanajaribu kuigiza kuongea na kutenda kama walivyosikia na kuona wazazi wao wakifanya?
wazazi wao wawasaidie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom