Kama nilivyokwisha kueleza siku nyingi, wewe ni mzoga tu unaoeneza matatizo ndani ya taifa hili.Umeshafika Tengeru msibani?, au ni chawa mpiga kelele wa humu JF!.
Kama nilivyokwisha kueleza siku nyingi, wewe ni mzoga tu unaoeneza matatizo ndani ya taifa hili.Umeshafika Tengeru msibani?, au ni chawa mpiga kelele wa humu JF!.
Kama nilivyokwisha kueleza siku nyingi, wewe ni mzoga tu unaoeneza matatizo ndani ya taifa hili.
Pole sana kwa kuwa na mawazo magumu kichwani.Kama nilivyokwisha kueleza siku nyingi, wewe ni mzoga tu unaoeneza matatizo ndani ya taifa hili.
Wewe na wenzako ni sumu mbaya sana ndsni ya nchi hiiPole sana kwa kuwa na mawazo magumu kichwani.
Sumu utakuwa wewe unayepinga hata usichokielewa.Wewe na wenzako ni sumu mbaya sana ndsni ya nchi hii
Hujui ninachopinga?Sumu utakuwa wewe unayepinga hata usichokielewa.
Umejipambanua bila ya shaka yoyote kuwa wewe ni adui mkubwa wa waTanzania kama alivyo Samia Suluhu Hassan.Pole sana kwa kuwa na mawazo magumu kichwani.
fika kesho kutwa udhuria mazishi yake , lazima , Mzee kaacha legacy kubwa ndani ya haki.Wakuu,
Heche kupitia mtandaoni ametangaza kifo cha mwasisi wa chama chao CHADEMA, Mzee Edwin Mtei baada ya familia kuthibitisha huku mipango ya mazishi ikiendelea nyumbani kwake Tengeru, Arusha.
=====
Elimu,"Shahada ya Sanaa (Political Science, History, Geography) - Makerere (1957)"
BoT, Gavana wa kwanza (1966–1974)
Uwaziri, Waziri wa Fedha (1977–1979)
Siasa, Muasisi na Mwenyekiti wa kwanza wa CHADEMA (1992)
Tawasifu, From Goatherd to Governor (2009)
1. Safari ya "Kutoka Chini"
Mtei alizaliwa mwaka 1932 huko Marangu, Moshi. Katika tawasifu yake (autobiography) iitwayo "From Goatherd to Governor", anaelezea jinsi alivyokulia katika mazingira duni, akichunga mbuzi baada ya masomo ya "bush school". Alisoma katika shule za Old Moshi na Tabora Boys kabla ya kujiunga na Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda mwaka 1953.
2. Gavana wa Kwanza wa Benki Kuu (BoT)
Wengi wanaijua CHADEMA, lakini hawajui kuwa Mtei ndiye alikuwa Gavana wa kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wakati ilipoanzishwa mwaka 1966. Alisimamia mchakato wa kwanza wa kutoa sarafu ya Tanzania (shilingi) baada ya kuvunjika kwa Bodi ya Sarafu ya Afrika Mashariki. Alishikilia nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka minane (1966–1974).
3. Msuguano na Mwalimu Nyerere
Mtei alikuwa Waziri wa Fedha katika serikali ya Mwalimu Julius Nyerere. Hata hivyo, alijiuzulu nafasi hiyo mwaka 1979 kutokana na kutofautiana na Nyerere kuhusu sera za kiuchumi, hasa mapendekezo ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ambayo Nyerere aliyakataa. Kitendo chake cha kujiuzulu kwa hiari kilihesabika kama ujasiri mkubwa wa kimaslahi wakati huo.
4. Nyadhifa za Kimataifa
Kabla ya kuingia kwenye siasa za ushindani, alihudumu kama Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na pia alifanya kazi katika Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kama Mkurugenzi Mtendaji (Executive Director) akiwakilisha kundi la nchi za Kiafrika.
5. Kuasisi CHADEMA
Baada ya mfumo wa vyama vingi kurejeshwa mwaka 1992, Mtei alikuwa mmoja wa waasisi wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Alihudumu kama Mwenyekiti wa kwanza wa chama hicho na alitumia rasilimali zake na ushawishi wake kukijenga tangu kikiwa kidogo hadi kuwa chama kikuu cha upinzani nchini.
6. Uhusiano wa Kifamilia na Freeman Mbowe
Jambo ambalo wengi hulitolea macho ni uhusiano wake na aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Edwin Mtei ni mkwe wa Freeman Mbowe (Mbowe amemuoa binti wa Mtei, Lillian). Hii mara nyingi imekuwa ikitumiwa na wapinzani wao wa kisiasa, lakini ndani ya chama inaonekana kama muendelezo wa misingi aliyoiweka.
Ni mmiliki wa mtei express au???Wakuu,

Unayo haki ya maoni yako ndio ukomavu wa demokrasia wenyewe huo.Actually, ninakubaliana nawe; huna siasa kabisa. Wewe ni mmoja wa kundi hatari ndani ya nchi hii. Unaumma huku ukipuliza saana; kama unashughulika na watu wasiokuwa na akili.
Huwezi kushabikia hizo siasa za enzi za akina Mtei; halafu leo hii unageuka na kuwa mshangiliaji mkubwa; hapana, siyo mshangiliaji, bali mhusika wa mauaji ya waTanzania.
You're worse than a devil; if there's such a possibility.
The worst scum that has ever been existent in our beloved nation.
Mkuu 'Steve', sijui ni kipi kilichokufanya urudi kwenye hiyo mada uliyonijibu.Unayo haki ya maoni yako ndio ukomavu wa demokrasia wenyewe huo.
Najua kipi kinachofanyika huko serikalini kwamba sio kila kitu kipingwe.
Endeleeni kupoteza muda kwenye siasa za kuuma moto mkiwa mmekunja sura.Mkuu 'Steve', sijui ni kipi kilichokufanya urudi kwenye hiyo mada uliyonijibu.
Ni hivi: nimekwishapata uzoefu zaidi juu yako kwamba sina lolote tena ninalosoma toka kwako na kuliamini kuwa linatoka moyoni mwako.
Huo mstari wa kwanza juu ya demokrasia; kwa mfano, ni 'bull shit'; huna lolote unaloamini juu yake.
Ajabu ni kwamba hadi sasa unajifanya hujui kinachopingwa?
Historia yako naifahamu vya kutosha; watu wa aina yako ndilo tatizo kubwa linaloikabili nchi yetu.
Hadi hapo tutakapofanikiwa kuwang'oa, nchi hii haitatulia hata kidogo.
Timu ya akina Thabit Kombo, na akina Hamza Johari na wengineo huko unakokuita wewe "serikalini".
Bado unajiona unao wigo wa kujipa matumain kadri hali inavyozidi kuwa tetei?Endeleeni kupoteza muda kwenye siasa za kuuma moto mkiwa mmekunja sura.
Mkuu haya maisha ya taharuki ni nyinyi mnayaishi, wenye kuzielewa hizi siasa za mitandaoni wala hawana wasiwasi.Bado unajiona unao wigo wa kujipa matumain kadri hali inavyozidi kuwa tetei?
Timu yenu nzima sasa inaanza kujifunua taratibu; na nyote wahusika mtabainika tu!
Huyo Thabiti Kombo mpelekee taarifa yake.
Hizi "siasa za mtandaoni" wewe zinakuwashia nini sasa!Mkuu haya maisha ya taharuki ni nyinyi mnayaishi, wenye kuzielewa hizi siasa za mitandaoni wala hawana wasiwasi.