TANZIA Mwasisi wa CHADEMA, Edwin Mtei afariki Dunia

Usiache unachotaka maishani, ghafla tu kwa kufata ulichotamani, ielewe ikuelewe kama oxygen na carbon, hauwezi hmgame bila pain muulize saigon
Naishi kibosi na usanii haupotei,
NATUMIA NOTE, TANGU INA SAHIHI YA MTEI

R.i.p mzee mtei
Usiniletee mabumunda,mjeshi nkiwa vitani,nikikuta mnaabudu punda, ntapelekea majani...yooooh yooo
 
Nilijua ni wanaCcm tu ndo wanakufa na watu wanashangilia, kumbe hadi upande wa pili!!!? kweli KIFO hakina mwenyewe. πŸ˜’
Ulielewa tofauti na hii huenda ni kwa sababu mentor wako anaweza kuwa Kihongosi.
Watu wote wanajua kila mtu atakufa ila kuna watu wakifa ni afadhali na wengine wakifa ni majonzi, mfano rahisi kama ulipoolewa wakwe zako inawezekana waliona wameletwa majanga na matatizo kwa roho yako mbaya ya kuchukia ndugu wa mume na wakati Kuna shoga yako alipoolewa imekuwa furaha tupu kwa wakwe zake lakini zote ni ndoa.
 
Watu kama hawa sasa ndiyo wanahitajika kwa wingi nchini. Na siyo haya machawa yanayojua kusifia tu na kutukuza baadhi ya watu, hata pale hao watu wanapofanya madudu.

Rest in peace Mzee Edwin Mtei.
Marehemu Mzee Mtei ni mfano wa kuigwa na vijana wa nchi hii kwa misimamo ya kupigania ukweli na mapenzi kwa nchi yake na huo ndio uzalendo!!
Vijana mkiendekeza β€œ uchawa” mnaofanya kwa Samia matokeo yake ni nchi kuzorota na hivyo kugawanyika kwa misingi ya kidini na kiasili hivyo kuwa rahisi kushambuliwa na maadui na kupora maliasili zetu!!
Pumzika kwa amani Mzee Mtei umeonesha njia kwa wananchi wa Tanganyika.
 
Usiache unachotaka maishani, ghafla tu kwa kufata ulichotamani, ielewe ikuelewe kama oxygen na carbon, hauwezi hmgame bila pain muulize saigon
Naishi kibosi na usanii haupotei,
NATUMIA NOTE, TANGU INA SAHIHI YA MTEI

R.i.p mzee mtei
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“πŸ”¨πŸ₯Ί
 
Mtei kama Polepole vile.
Ukiona hukubaliani na namna nchi inavyo endeshwa unajitoa kwenye huo uongozi.
 

RIP Mr. Mtei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…