Mwarobaini wa CCM hatimaye umepatikana

Mwarobaini wa CCM hatimaye umepatikana

ccm tegemeo lao ni dola tu ila wapo taabani,wao walianza kuzusha oh hawa ni magaidi,mara oh hawa ni chama cha kifamilia ila JK SALMA RIZ1 wote wapo CCM na ni viongozi wa NEC jaanni ccm mwaka huu mtaisoma namba na na tabili KINANA afiki 2015 NGOJENI maana aliannza MAKAMBA,akafuata MUKAMA sasa ni huyu muuza Pembe za Ndovu KINANA hiki chote ni kimbunga cha M4C na bado jk THE HAGUE inakuhusu,kama utatuambia nani alilipua bomu kule arusha na kua ahidi tutakupekeka ICC ukajibu dhuluma za ubinadamu,unachukia watu kisa wapo CHADEMA au CUF unalo MH rai DK jk
 
CHADEMA wana mtihani mmoja tu uliobaki. Nao ni kutungiwa kesi ya uhaini. Huu ndio itakuwa mtihani wao wa mwisho.

Sasa hivi chadema ni yawatanzania, je watawafungulia kesi ya uhaini watanzania wote?. Mia
 
CHADEMA kwani ya leo? itaendelea kugaragazwa tu miaka nenda rudi na hasa huyu kidato cha nne asipoondolewa pale juu na kumuweka msomi.

Ingekuwa CCM mnajali usomi katika kuwapa watu uongozi MAJI MAREFU na LAMECK AIRO (LAKAIRO) ilikuwaje mkawateua kugombea ubunge na mkawafanyia kampeni na sasa ni wabunge
 
Tatizo manfikir kura wanapiga wana propaganda wa JF, kura zinapigwa na wananchi wanaojua CCM inafanya nini majimboni mwao.

Jipe moyo tu kijanaa,ukzani watanzania wa sasa ni wale wa miaka ya 40.. 2015 utashangazwa
 
Wanafanya hivyo ili watanzania wajue ccm inapendwa bila kujua watanzania wameshajanjaluka. Nawasihi watanzania tuunganishe nguvu zetu chadema tuikomboe tanganyika kwa mara ya pili hata tanzania hijawahi kombolewa nayo tutaipatia uhuru wa kweli kupitia chadema. Mia
yah ni kweli tunajua ccm ni chama kinachoenda kufa kabisa sema wanachonishangaza ni jinsi ambavyo hawa viongozi wakubwa wa chama hicho wanavyoshindwa kwenda na wakati na kufanya vitu ambavyo ni vya aibu kama kuwaaminsha watu kuwa wanavuna wanachama toka cdm hapa ndo napopata shida kuhusu uelewa wa viongozi hawa
 
Chama cha kikabila na kidini OLA!! Kinataka kuleta umwagaji damu nchini OLA!! Ni chama cha magaidi OLA!! Mbinu zote chafu zimewagaukia wenyewe huku CHADEMA tukiendelea kupeta na kuongeza umaarufu nchi nzima ya Tanganyika huku tukiongeza idadi ya wanachama....labda kimesambaratika vichwani mwa Magamba but in reality bado tunapeta kwa sana tu ndio maana mnahaha usiku na mchana lakini juhudi zenu hazitafua dafu.

😛eace: 😛eace:😛eace:

Alutta continua!! continua!!

Mbona chadema imeshasambatatishwa? au huoni?
 
Watu tuna mitazamo tofauti kweli, wakati Watanzania wengi wanaamini Katiba mpya ndiyo ilikuwa karata ya mwisho kwa CHADEMA , kumbe bado wanaojifariji kuwa CHADEMA wana nguvu? kazi kweli kweli.

Nyie hangaikeni, 2015, ndo mtawajuwa CCM ni akina nani, si mnahangaika na M4c, Mara kunadi Katiba wao kimya, na uzuri CCM bwana wafuasi wao hawana papara kabisa siku wakianza kuwanyeshea mnaanza kumtafuta mchawi.

CHADEMA kwani ya leo? itaendelea kugaragazwa tu miaka nenda rudi na hasa huyu kidato cha nne asipoondolewa pale juu na kumuweka msomi.

Tatizo manfikir kura wanapiga wana propaganda wa JF, kura zinapigwa na wananchi wanaojua CCM inafanya nini majimboni mwao.

CCM haina mwarubaini wala mthelathini. CHADEMA jengeni chama acheni kujipongeza kwa umaarufu wa dakika mbili tatu.

watu wenye upeo mdogo kama wangekuwa wanaota manyoya wewe ungeota manyoya siku nyingi.
Hili ni kundi la wafuasi wa VASCO DAGAMA.. Hakuna mwana CCM ktk kundi hili... Mwaka 2015 Akigombea Benard wote watajitenga na CCM.
 
Tatizo manfikir kura wanapiga wana propaganda wa JF, kura zinapigwa na wananchi wanaojua CCM inafanya nini majimboni mwao.

Sijui unamuongelea nani hapo............maana mimi ni mpiga kura!!!!!!!!!!Hao wa majimboni wanatokea mbinguni JF hawapo au?
 
CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani nchini na chama kinachounda kambi rasmi ya upinzani Bungeni ni mwiba mchungu kwa CCM. CCM kama chama tawala kinatumia kila ain aya njia ili kupunguza au kumaliza kasi ya CHADEMA. Leo sijadili njia ZOTE zinazotumiwa na chama changu kudhibiti CHADEMA.

Nazungumzia hii ambayo ni ya mwisho kabisa. Ni ya kuwachanganya wapinzani pamoja na baadaye kuivuruga CHADEMA. Sasa CUF na NCCR-Mageuzi,baada ya rabsha za Bungeni,wanaonekana 'kuiva' na kufanya kazi pamoja. Hatari kubwa kwa CHADEMA. Amini nawaambieni,wapo wapinzani wa CUF na NCCR walioingia humo kwa kazi maalum. CHADEMA ikizubaa kidogo tu,itajuta miaka mingi ijayo.CHADEMA imetegwa mtego wa kisiasa na wa kimbinu.

Ifahamike kuwa siana nia ya kuwasambaratisha 'marafiki hawa wa sasa'.Lakini,nalazimika kusema ukweli.Hii ni kwakuwa,marafiki hawa watajadili pamoja;wataaminiana;watakuwa na msimamo mmoja.Wananchi watawaona hivyo.Mwisho wa sinema hii utakuwa pale ambapo mshirika mmoja au washirika wawili wa urafiki huu atakapotoa Taarifa kwa umma ya kutokubaliana na CHADEMA kwa kile watakachokuwa wamekizungumza faraghani. Hapo,wanachi wataaminishwa kuwa CHADEMA ni wakorofi na hawafai kushirikiana au hata kuaminiwa.

Mwenye kusikia na asikie!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

cc Tumaini Makene Ben Saanane Yericko Nyerere,Dr.W.P.Slaa na wengineo
 
Nakupendea hapo mkuu
 
Karata pekee ya anguko la ccm ni kwa vijana ambao ndio nguzo yamabadiriko hivi sasa kujitokeza kwa wingi na kujiandikisha ili ifikapo wakati wakupiga kura wapige na si kukaa ktk majukwaa na vijiwe kuota kuiangusha ccm nawakati hata kura hawapigi..hizo zitakuwa ni ndoto za alinacha..tuanze kwanza vijana kupeana elimu yaupigaji kura na kisha tukasaidie kuwaelimisha wazee wetu pasiwepo na voter turnout..
 
Chama cha kikabila na kidini OLA!! Kinataka kuleta umwagaji damu nchini OLA!! Ni chama cha magaidi OLA!! Mbinu zote chafu zimewagaukia wenyewe huku CHADEMA tukiendelea kupeta na kuongeza umaarufu nchi nzima ya Tanganyika huku tukiongeza idadi ya wanachama....labda kimesambaratika vichwani mwa Magamba but in reality bado tunapeta kwa sana tu ndio maana mnahaha usiku na mchana lakini juhudi zenu hazitafua dafu.

😛eace: 😛eace:😛eace:

Alutta continua!! continua!!

.....peeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeopleeeeeeeeeeeeeeeeesssssssssssssssssssss!!!!!
 
"wazo la leo..

"ukiona umeoa mke sio bikra, tambua kwamba umeoa mpenzi wa mtu.usiku mwema.
 
The only big reason that CCM is falling is that it has lost control and the only reason that CHADEMA will emerge into power is that it has achieved and maintain control. Wise and strong decisions has been so far the strong ladder for CHADEMA.

CCM were able to survive so far in power simply because most people were passive observers. The government wants people to behave like kids. Kids don't keep things in their minds. You can beet it now, a few minutes later it will come back smiling at you. That is how they wanted. It was just because most of the political leaders who hold power prefer to lead an uninformed society that an informed one. Reason being that an informed society would make informed decisions and that would make it difficult for them to manipulate. We call this power drunkenness.

Power drunk leaders feel their way are always the best and give no chance to criticism. As the government becomes unpopular it uses underhand methods such as intimidation, vote rigging and manipulation.

But as the story goes there is a transformation from passiveness to activeness that will play a great impact to CHADEMA if they will get in power. It is no wonder that CHADEMA will work under pressure. This scenario requires a leader who is a risk -taker with titanium nerves and vision.

A figurehead who will change the people's mentality and inspire the nation from its run down economic and social state to a more promising and pragmatic one

Mungu Ibariki Tanzania

Germano Mbelwa
Lushoto Constituent

Cc:
Mwigulu Nchemba,Nape Nnauye, Dr.Slaa,Mbowe,Lissu,Mchambuzi n.k.
 
Back
Top Bottom