Mwarobaini wa CCM hatimaye umepatikana

Mwarobaini wa CCM hatimaye umepatikana

kinachonishangaza kila siku wakiitisha mikutano wanadai wanachama wa cdm wamehamia ccm je wanachama wa ccm ni wapi? je hawana staili nyingine ya kuongea zaidi ya hiyo?
 
Weeee! walifikiri ni kuvua gamba! maskini wakakuta si gamba ni ngozi yenyewe! Looo! kuona hivyo wakajali uhai wao.
 
Chadema ndio mwarobaini wa ccm.
Ccm walijua wataiangamiza chadema kwa mbinu walizorumia kwa nccr na Cuf lakini imeshindikana.
Tangu vyama vingi vianze ccm walikua hawajapata chama cha kuwavuruga akili kama chadema.
Wamejaribu kutumia mbinu zao zote kukiangamiza chadema wameshindwa. Sasa hivi wanasubiri kudra za Mwenyezi Mungu kwa kila Uchaguzi.
Yanayo tokea Bungeni na nje ya bunge ni matokeo ya kuchanganyikiwa kwa ccm sababu hawajui nini wafanye.
Hii katiba mpya wanaona ndo inawamaliza kabisaaaa....!!! Yaani sasa hivi wanamlaumu Rais kwanini alikubali mchakato wa katiba mpya wakati hakuwa katika ahadi za ccm.
Sasa hivi kila mtu anajitahidi kula ofisini kwake kwani wanajua fika 2015 ndo mwisho wa ccm.
Chadema ingekua kama vyama vingine vya upinzani hakika Tanzania ingekua taabani zaidi ya hapa.
Namuomba Mungu azidi kuilinda na kuibariki Chadema na Viongozi wake ili haki iendelee kuwepo. Mia

maccm yamebanwa mpaka yanashindwa kupumua tunahoji ajira 1,000,000/=
 
Mbona chadema imeshasambatatishwa? au huoni?

Kwa ushindi wa nne bila arusha au? mimi kama ccm mlishindwa kutumia hela arusha mshinde hata kata moja mtaweza tanzania nzima?. kwa ufupi watanzania wameshawagundua ccm na janja yao ya nyani kula hindi bichi. 2015 ccm itapigwa bumbuwazi. Hahahahaaaa.. !!!. mia
 
Nyie hangaikeni, 2015, ndo mtawajuwa CCM ni akina nani, si mnahangaika na M4c, Mara kunadi Katiba wao kimya, na uzuri CCM bwana wafuasi wao hawana papara kabisa siku wakianza kuwanyeshea mnaanza kumtafuta mchawi.

Wizi wa kura, katiba mbovu, elimu ya hovyo kwa wa Tz, hamna lolote la kujivunia....
 
2015 ccm itashinda labda kwa kuiba kura au kutumia jeshi, nje ya hapo ccm inaelekea kubaya mwaka 2015...
Possibly lakini mpaka 2015 hali itakuwa ngumu sana kwa ccm. Kwanza walishaamini cdm inakufa kabla ya mwisho wa 2012 lakini sptember 2013 ni imara zaidi ya kipindi walichodhania itakufa, kesi zote za ugaidi sio zimeisha tu bali kwa aibu. Na moja ya misumari ya mwisho ni mbinu ya Ndugai juzi bungeni alidhani 'wanamaliza mchezo' lakini hadi ninavyoandika hivi kila Mtanzania anawacheka na kuwadharau juu ya kilichotokea pale.
Kwa hiyo hao askari, uwt, jeshi (kama Simbo alivyofanya 2010) huenda isiwe msaada wa maana.

kinachonishangaza kila siku wakiitisha mikutano wanadai wanachama wa cdm wamehamia ccm je wanachama wa ccm ni wapi? je hawana staili nyingine ya kuongea zaidi ya hiyo?

Wanafanya hivyo ili watanzania wajue ccm inapendwa bila kujua watanzania wameshajanjaluka. Nawasihi watanzania tuunganishe nguvu zetu chadema tuikomboe tanganyika kwa mara ya pili hata tanzania hijawahi kombolewa nayo tutaipatia uhuru wa kweli kupitia chadema. Mia
 
Kama bado chama changu pendwa kinaamini kinapendwa basi kiwatimue wale madiwani 8 Bukoba tuone kama matokeo hayatasoma hivi;
CCM-00
CDM-08
CCM hoyeeee.....
 
Possibly lakini mpaka 2015 hali itakuwa ngumu sana kwa ccm. Kwanza walishaamini cdm inakufa kabla ya mwisho wa 2012 lakini sptember 2013 ni imara zaidi ya kipindi walichodhania itakufa, kesi zote za ugaidi sio zimeisha tu bali kwa aibu. Na moja ya misumari ya mwisho ni mbinu ya Ndugai juzi bungeni alidhani 'wanamaliza mchezo' lakini hadi ninavyoandika hivi kila Mtanzania anawacheka na kuwadharau juu ya kilichotokea pale.
Kwa hiyo hao askari, uwt, jeshi (kama Simbo alivyofanya 2010) huenda isiwe msaada wa maana.

mkuu hilo unalosema huenda ni sahihi, suala la bungeni limeongeza umaarufu kwa chadema kuliko ccm, kuna wananchi wanatamani ngumi zipigwe bungeni kati ya ccm na chadema, wakiamini chadema ndo mkombozi wao! Lakini tuwe na tahadhari ccm wanaweza wakalazimisha watangazwe washindi mwaka 2015 kwa kutumia jeshi!
 
chadema ni sawa na mgonjwa ambaye ugonjwa wake unapanda na kushuka na ndivyo kilivyo chadema.
Tutachoma mahirizi yooooote mpaka kieleweke....

1234013_463772763721368_891448615_n.jpg
 
Wakina Dr Kigwangala Chadema imewachanganya mpaka wanatelekeza wazazi wao.....CDM imewachanganya mpaka wanaropoka matusi Bungeni....CDM imewabana kila kona, kila idara, njama zao zimejulikana mapemaaa......

Wassira alisema CDM itakufa mwaka 2013 lakini chama ndo kinakuwa kwa kasi ya ajabu...
 
Hawa MAGAMBA wameshachoka i see.

Wameiba kwa style zote.

Sasa wamekuja na hizi style za wizi kwa kauli mbiu...Mara kilimo kwanza....na zingine nyiingi. Sasa hivi wna hii ya BIG REULTS NOW.Hapa pesa ndefu imepigwa usipime.....wameona wakila hvi hivi itakuwa soo..ngoja tuchomeke BRN tule kabla hatujatoweshwa 2015

Wezi kabisa hawa.
 
Mkuu, hivyo ni vyombo vya dola na vina haki ya kuilinda serikali ya ccm. hata mngekuwa nyie mngevitumia

Ninyi Magamba tunawaonya 2015 mtapigiwa kura na hao wanajeshi, mapolisisiemu, TISS, Na hiyo tume yenu, sisi hata wananchi wa hata huku Bukingwaminzi, Kalebezo, Nanjilinji, Kangetutya, Mamsera, Kwedikwazo na Marinyi hatutadangayika tena kuchagua magamba chama cha magamba magumu..
 
Watu tuna mitazamo tofauti kweli, wakati Watanzania wengi wanaamini Katiba mpya ndiyo ilikuwa karata ya mwisho kwa CHADEMA , kumbe bado wanaojifariji kuwa CHADEMA wana nguvu? kazi kweli kweli.

pole mkuu lakini huna jinsi CCM ndo niagieni.
 
Nyie hangaikeni, 2015, ndo mtawajuwa CCM ni akina nani, si mnahangaika na M4c, Mara kunadi Katiba wao kimya, na uzuri CCM bwana wafuasi wao hawana papara kabisa siku wakianza kuwanyeshea mnaanza kumtafuta mchawi.

Mnategemea wizi wa kura safari hii mtaiba kwa jasho na hamtazipata
 
CHADEMA wana mtihani mmoja tu uliobaki. Nao ni kutungiwa kesi ya uhaini. Huu ndio itakuwa mtihani wao wa mwisho.
 
Back
Top Bottom