Mwarobaini wa CCM hatimaye umepatikana

Mwarobaini wa CCM hatimaye umepatikana

Magamba mtaweweseka sn na bado spidi ya cdm ipo palepale.farijianeni wafu kwa wafu lakni T2015CDM tu,watz hatudanganyika
 
kidato cha nne sio hoja yenye mashiko,unaweza ukawa profesa mwizi,kidato cha nne mwadilifu,joelekeze kwenye hoja.
 
Watu tuna mitazamo tofauti kweli, wakati Watanzania wengi wanaamini Katiba mpya ndiyo ilikuwa karata ya mwisho kwa CHADEMA , kumbe bado wanaojifariji kuwa CHADEMA wana nguvu? kazi kweli kweli.
baki kuamini hivo, watanzania wengi wanaamini chama kitakachosimamia kupatikana kwa katiba bora isiyo ya viongozi ni chadema! Endeleeni kuamini uwongo na propaganda za kina nape na wenzake!
 
Watu tuna mitazamo tofauti kweli, wakati Watanzania wengi wanaamini Katiba mpya ndiyo ilikuwa karata ya mwisho kwa CHADEMA , kumbe bado wanaojifariji kuwa CHADEMA wana nguvu? kazi kweli kweli.

Wasira alisema Chadema inhekufa mwishoni mwa mwaka jana lakini hata haijaugua. Sasa anaweweseka anasema chadema haiwezi kufa.
Ukuta wa nyumba ya ccm umejengwa kwa biskuti. Sasa hivi tunaumwagia maji 2014 utamomonyoka 2015 utaanguka kabisa...hahahahaaaa....!!!. mia
 
Chadema ndio mwarobaini wa ccm.
Ccm walijua wataiangamiza chadema kwa mbinu walizorumia kwa nccr na Cuf lakini imeshindikana.
Tangu vyama vingi vianze ccm walikua hawajapata chama cha kuwavuruga akili kama chadema.
Wamejaribu kutumia mbinu zao zote kukiangamiza chadema wameshindwa. Sasa hivi wanasubiri kudra za Mwenyezi Mungu kwa kila Uchaguzi.
Yanayo tokea Bungeni na nje ya bunge ni matokeo ya kuchanganyikiwa kwa ccm sababu hawajui nini wafanye.
Hii katiba mpya wanaona ndo inawamaliza kabisaaaa....!!! Yaani sasa hivi wanamlaumu Rais kwanini alikubali mchakato wa katiba mpya wakati hakuwa katika ahadi za ccm.
Sasa hivi kila mtu anajitahidi kula ofisini kwake kwani wanajua fika 2015 ndo mwisho wa ccm.
Chadema ingekua kama vyama vingine vya upinzani hakika Tanzania ingekua taabani zaidi ya hapa.
Namuomba Mungu azidi kuilinda na kuibariki Chadema na Viongozi wake ili haki iendelee kuwepo. Mia
CCM walifikiri Chadema kitakufa kabla ya 2013, iliposhindikana wakaja na mbinu ya kuwabambika kesi viongozi wakuu Slaa na Mbowe wafungwe ili chama kife, leo Mwigulu Nchemba bila aibu anadiriki hadi kulia bungeni eti mbona hawafungwi, baada ya kuona chama kinazidi kusonga mbele wamebaki na silaha moja ya kutumia polisi nayo inagonga mwamba, leo CCM imekataliwa na wananchi kama mgonjwa wa ukimwi aliyekataliwa hospitali ili akafie nyumbani, sarakasi zote za akina Kinana kuzunguka mikoani ni kutoa aibu wanataka kufa kiafisa na tai shingoni.
 
Wasira alisema Chadema inhekufa mwishoni mwa mwaka jana lakini hata haijaugua. Sasa anaweweseka anasema chadema haiwezi kufa.
Ukuta wa nyumba ya ccm umejengwa kwa biskuti. Sasa hivi tunaumwagia maji 2014 utamomonyoka 2015 utaanguka kabisa...hahahahaaaa....!!!. mia

Ndo imekufa mkuu. tunasubiri kuizika rasmi 2014 na matanga 2015
 
...na bado tutapiga mpaka wachanganyikiwe, wakiziba huku tunapiga huku,teh tehehee . tunapiga bungeni, tunapiga mtaani, tunashinda mahakamani tunapiga mpaka ikulu, wakirogwa waweke fair ground tu wamekwishaaaa...! chezeya m4c...?

Sasa hivi wanachama wa ccm wamebaki wanalalamika na kuweweseka. Viongozi wao wakiitisha mkutano watu wakahudhuria wanasema wameibomoa chadema. Hii inamaana wameshaamini kwamba watanzania wote wapo chadema. Mia
 
Nyie hangaikeni, 2015, ndo mtawajuwa CCM ni akina nani, si mnahangaika na M4c, Mara kunadi Katiba wao kimya, na uzuri CCM bwana wafuasi wao hawana papara kabisa siku wakianza kuwanyeshea mnaanza kumtafuta mchawi.
2015 ccm itashinda labda kwa kuiba kura au kutumia jeshi, nje ya hapo ccm inaelekea kubaya mwaka 2015...
 
Nyie hangaikeni, 2015, ndo mtawajuwa CCM ni akina nani, si mnahangaika na M4c, Mara kunadi Katiba wao kimya, na uzuri CCM bwana wafuasi wao hawana papara kabisa siku wakianza kuwanyeshea mnaanza kumtafuta mchawi.

kidato cha nne siyo hoja jielekeze kwenye hoja,unaweza kuwa profesa ila siyo mwadilifu,kidato cha nne akawa mwadilifu,acha porojo.
 
Chezeya CHADEMA weye!!!....CHADEMA ni kiboko ya CCM na mbinu zao zote chafu za kuisambaratisha zimeshindikana.
 
Chezeya CHADEMA weye!!!....CHADEMA ni kiboko ya CCM na mbinu zao zote chafu za kuisambaratisha zimeshindikana.

Mbona chadema imeshasambatatishwa? au huoni?
 
...mkuu unaongea kama mnajiamiiiiini, ingekuwa hivo acheni kutumia mbinu shirikishi basi wakati wa uchaguzi. wekeni fair ground muone moto wetu,acheni kutumia tiss, polisi, wanajeshi na mbaya zaidi rushwa na wakurugenzi wa halmashauri,bila kuimsahau kiungo wenu mkuu tume ya uchaguzi...
mkuu ccm bila rushwa, polisccm, Tissccm,tbccm, hakuna ushindi!
 
Mkuu, hivyo ni vyombo vya dola na vina haki ya kuilinda serikali ya ccm. hata mngekuwa nyie mngevitumia
kwa hiyo kazi ya vyombo vya dola ni kulinda chama tawala? Kama ni hivyo basi ccm ni zaidi ya janga!
 
Ccm bila kuhonga wapiga kura, kutumia polis, na nk. Hakuna ushindi! Viongozi wengi wa ccm wamejaa propaganda na uongo, mfano ni nape na mwingulu!
 
Back
Top Bottom