figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,715
- 59,249
Chadema ndio mwarobaini wa CCM.
Ccm walijua wataiangamiza chadema kwa mbinu walizorumia kwa nccr na Cuf lakini imeshindikana. Tangu vyama vingi vianze ccm walikua hawajapata chama cha kuwavuruga akili kama chadema. Wamejaribu kutumia mbinu zao zote kukiangamiza chadema wameshindwa. Sasa hivi wanasubiri kudra za Mwenyezi Mungu kwa kila Uchaguzi.
Yanayo tokea Bungeni na nje ya bunge ni matokeo ya kuchanganyikiwa kwa ccm sababu hawajui nini wafanye. Hii katiba mpya wanaona ndo inawamaliza kabisaaaa....!!! Yaani sasa hivi wanamlaumu Rais kwanini alikubali mchakato wa katiba mpya wakati hakuwa katika ahadi za ccm.
Sasa hivi kila mtu anajitahidi kula ofisini kwake kwani wanajua fika 2015 ndo mwisho wa ccm. Chadema ingekua kama vyama vingine vya upinzani hakika Tanzania ingekua taabani zaidi ya hapa.
Namuomba Mungu azidi kuilinda na kuibariki Chadema na Viongozi wake ili haki iendelee kuwepo. Mia