Mwarabu kanipa pk...

Ahhahahahah lol na wewe ulienzisha uzi je...usjitoe bureee wewe ndo umelianzisha nkiamua kurusha mawe hapa naanza na wewe lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Hahahaaa poa bhana ndo hvyo Duniani kusameheana tyuuu au co??
 
Halafu kama unaenda saruji kulia kwenye mtelemko kuna bwawa la maji machafu!

Mm hata cjaliona hilo bwawa la maji machafu... huh!! Maana network ya kichwa iliwaza kuondoka tyu...
 
Umeling'amua mapema co.
Mshukuru Mungu wako bana.
 
Tanga si kawaida yenu kuonana, kuongea na kupeana vitu na viumbe mnaowaita malaika wazuri?

Mtu aliyeoshwa kwa damu ya Yesu, malaika wazuri hawawezi msogelea. Ninyi endeleeni kuwa na mahusiano nao
 
Dooooh....hapo kuna kazi. PK??! Hawa waarabu noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…