Mwarabu, Diamond Platnumz' official bodyguard!!

Ukubwa wa pua siyo wingi wa makamasi. Hill jitu kuwa tu lakini halina zaidi ya huo ukubwa wa mwili, na unaonesha wazi ni mwili wa kula sana na ma steroids.

The lean and mean are the most effective.
Nashukuru we bibi umeongeza adui mwengine..huyu Jamaa ni ninja anapiga combat killer Zote. Ngoja akukamate...AF we bibi nakuwazaga kama betina hv
 
Nashukuru we bibi umeongeza adui mwengine..huyu Jamaa ni ninja anapiga combat killer Zote. Ngoja akukamate...AF we bibi nakuwazaga kama betina hv
Mwenye martial arts watu kama Hugo huchukuliwa kuwa ni mzigo tu.

Hamalizi dakika tatu anaangushwa kama gunia la mahindi.

Uliza Mwenye ujuzi wa martial arts wakueleze, ogopa sana watu wasio na miili mikubwa lakini wapo fit.

Hilo limejaa minyama na mifuta tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom