Mwarabu, Diamond Platnumz' official bodyguard!!

Hivi kuwa body gurad wa mtu lazima uwe na mwili mkubwa?
Mbona marais hawana watu wenye miili mikubwa?
 
Kiukweli hii kazi alitakiwa kupewa lemutuz sababu ana vigezo vyote.
Body analo,ana black belt na yuko smart upstairs.
 
Tanzania ni ileile pamoja na vilivyomo..!

Ni sawa na kuwa Mwanajeshi, mpaka unastahafu, hujapigana vita hata moja...!!

Many professionals are useless..!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ukubwa wa pua siyo wingi wa makamasi. Hill jitu kuwa tu lakini halina zaidi ya huo ukubwa wa mwili, na unaonesha wazi ni mwili wa kula sana na ma steroids.

The lean and mean are the most effective.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom