Mwanzo wa meditation

Sawa mkuu, msafiri.razaro nasikia mtu aliyefunguliwa Third eye nirahisi Sana kwake kuwagundua wachawi, na wachawi wakijuwa umewaona na wewe Sio mwenzao lazima wakuroge au wakuuwe. Je, kwà meditator aliyefungua hilo Jicho akawaumbua siri zao wachawi wanaweza kumroga au kumuua?
Habari Kapyepye Mfyambuzi nimechelewa kujibu, nilipata misiba na kuwa muuguzi si unajua hali ya changamoto ya kupumua.

Third Eye concept hapa JF imeelekezwa na impepokewa vibaya. Wengi wanazani ni kuona au kama umekaa kwenye cinema au TV no you get it wrong. Wakati tukianza kufanya Meditation sio mimi tuu hata wenzangu kwenye group walichukulia hivyo, tulikuwa tukipata session za discourse tulishindana kueleza nini tumeona au kusikia ili kumu impress Master wetu, yeye alikuwa anakaa kimya as if tuko sawa (I think was part of his teaching technics). Baadae sana nilikuja jua maana ya Third Eye. Third Eye ni Utambuzi au realization ambayo inakutokea sio wakati meditation bali hata ukiwa hauko kwenye meditation. Realization it occur in moment bila kuwa calm inakupita.

Tunafanya meditation, Yoga, Fasting, Vegetarianism ili kupata high concentration of mind and body calmness in order to achieve transcend mind state of consciousness na kufika kuwa kwenye higher level of conciousness. Kwa kawaida tuna kuwa kwenye level zinakuwa controlled na mwili na akili yaani Awakening, deep sleep, dreaming. High level ni Transcend or self realization, cosmic or bliss, Causal and Oneness.

Hii ni Hali ya kuwa, To Be. Either unakuwa macho au Umelala.

Ukilala unakuwa Umelala fofo au ndotoni.

Ukiwa macho ukakuwa Fikrani lakini pia unaweza kuwa Rohoni (Kigumu kuwa) hapa ndio tunahitaji kufanya mazoezi ilituwe kuwa Rohoni hii inanza tuu pale utaweza ku-control hali ya kufikiri. Meditation, Yoga, fasting, Vegetarianism and others Cults, kama kum-Fu, Rastafarian, Zecons zinatupa mazoezi na uzoefu wa kuwa kwenye hali za juu za kiroho.

Higher level of consciousness attained unapata uwezo wa kufumbuliwa mengi ambayo yako juu ya upeo wa mtazamo wa kawaida kwa ushuhuda wa juu usio fikirika na akili.

Ni kweli kwenye meditation inategemea na hali gani ya level of concetration and body calmness uliopata waweza Experience mambo mengi tuu lakini ni there is nothing to associate with God knowledge, unaweza sikia hali bliss, au kuona Void, sikia sussing sounds, astroprojections, unaweza kupata powers mbalimbali kikubwa sana ni realization after meditation. Unapoana na kusikia halafu uka translate meaning ya unachokiona au kukisikia ujue ni akiri ndio inafanya hivyo, hivyo utakuwa bado uko hali ya fikra, Na akiri yaweza kukuleta imagination na illusination.

Nitakufa Experince yangu ya kufungua Third Eye.

Baada ya kufanya long Meditation ( its take a week or two) iliyoambataka na Fasting, ilijikuwa wakati fulani sikujua what is going on, nilikuwa najiraumu sana kuwa nilikuwa nimesinzia. Tulikuwa group of la watu saba au sita, maana mmoja wetu alishindwa na akaachia njaani. Tolipo maliza na ku-break fasting tukaenda KOKO Beach tukipata upepo wa bahari.

Wakati tumekaa ilipita Couple moja matata sana, dada mrembo sana na mkaka wameshikana viunoni wanatembea kando ya bahari na dada anajibebisha kwa saana. Nilijikuta nimekubwa na butwaa, sio kwamba sikuwahi kuona couple nzuri kabla lahasha, au walifanya kitu cha ajabu wala sio.

Nilimshangaa yule mdada anavyojifanya mwana mke, lakini pia yule kaka anavyojifanya mwanaume, pia niliwaangalia wenzangu na mimi mwenyewe nikaona hatuko sawa, yaani wote kama tuko location tunaigiza kila mmoja kwa nafasi yake. Wenzangu waliona kuwa nimeshangaa, waliponiuliza sikuwajibu nilikaa kimya. Lakini nilipopata session ya kum cosult Master nilimsimulia. Aliniambia kwa mara ya kwanza umefungua jicho la Tatu, umeona kisichoonekana na macho ya mwili. Umetumia Roho. Kiroho tuko sawa, hakuna mwanaume wala mwanamke, in English aliniambie there no Qualities or Genders and from now on regards yourself as "GREAT SOUL" level ya kupata self realization.

Kuhusu Uchawi na Wachawi kama nilivyosema hapo juu inategea na karama zako, sio lazima uwe na third eye, unahitaji high concetration na Calm mind, Power hailazimishwi, na ni unique, mimi ni Clairvoyance na niko telepathic na nilipata kabla ya kufungua third eye, ilinifanya niwe expelled kwenye group, ila siinjoi kabisa nalazimika kupiga K-Vant na kula nyama choma saana.
 
Asante Sana Mkuu
emoji120.png
. Je, Mimi huwa nikitumia benaural beats, huwa inanisaidia Sana akili yangu kuweza kutulia kwenye hiyo sauti, na baadae naanza kuhisi ki-vibration kikianzia mgongoni kinapita hadi kwenye moyo kinapanda juu, naogopa nastop. Je, huwa nakaribia kufungua, au nakuwa bado nipo kwenye imagination?
Naomba unisaidie na mimi tricks mkuu.
Hizo ni Experince za kawaida, hasa ukiweza kuwa na contration kubwa unashauriwa kufanya meditation sehemu tulivu ambayo haina interraption.
 
Shukrani mkuu msafiri.razaro umenijibu zaidi ya nilivyouliza, nimepata na faida ya ziada ndani ya jibu lako. Asante Sana. Umenifanya nitake kujua zaidi. Hadi nakutamania, Je, hiyo telephatic na clairvoyance inausumbufu gani hadi inafikia unaigopa au uione inaku-disturb?
 
Sawa mkuu nitafanya hivyo, sema sasa mimi nilishajilemaza mpaka nitumie benaural beats ndio naweza ku-calm mind bila hivyo siwezi akili haitulii. Huwa natumia programu ya sauti "brain frequency" kuna gamma, theta na delta
 
Sasa nimeelewa kwa nini unatishwa na vibration. High contraction kwenye any object ina tend kuunganisha enegy yako na hiyo object tobecome one.

Uki concentrate kwenye kanyuzi kamoja ka pamba unakuwa wait less cama hako kanyuzi matokeo yake unaweza jikuta unaelea hewani. That how they do wale wanaofanya flying sutras.

Kila kitu kina vibration the higher the frequency the high sound produced. In your case umesema una higher concetration na unameditate kwenye sound which are not part of you unafika mahali unataka kuwa sawa na sauti, but your pure than that, ndio maana unafika kwenye woga na kustop.

Hebu jaribu ku concetrate kwa sauti zako za ndani. Ziba matutundu ya masikio kwa vidole, utasikia mivumo ya sauti ya ndani pande zote za sikio. Contrate na sauti ya sikio la kuria, kila utapokua unaconcetrate na sauti fulani kuna sauti nyingine more sussable and more fine ina jitokeza, concetrate kwa hiyo mpya, ikija nyingine contrate kwa mpya hivyo.

Hebu jaribu hii. Nifuate inbox kwa ushauri zaidi.
 
Sawa mkuu Ngoja nijaribu nitakupa mrejesho inbox
 
Shukrani mkuu msafiri.razaro umenijibu zaidi ya nilivyouliza, nimepata na faida ya ziada ndani ya jibu lako. Asante Sana. Umenifanya nitake kujua zaidi. Hadi nakutamania, Je, hiyo telephatic na clairvoyance inausumbufu gani hadi inafikia unaigopa au uione inaku-disturb?
Hujui tuu Bro ni kero kujua watu wanawaza nini au, kuna mpango gani, nani hasa kafanya tukio, but u can't produce physical evidence au kujua fate za watu including your loved ones and closest friends.
 
Dah!!
Inamaana na Hawa wanaojiita Manabii watenda miujiza ya uponyaji, wanafanyaga yote hayo, kujua destiny za watu, nani kakuroga, kuponya wagonjwa, kufungua mapepo, nguvu zote hizo wamezitolea kwenye Third eye na vipawa kama hivi?? Au wao huwa wana practical zao maalum? Maana nasikia hadi kuna chuo cha unabii!
 
We unawaamini.
 
Hata mazingaombwe yanafundishwa.
 
Habari Kapyepye Mfyambuzi nimechelewa kujibu, nilipata misiba na kuwa muuguzi si unajua hali ya changamoto ya kupumua.

Third Eye concept hapa JF imeelekezwa na impepokewa vibaya. Wengi wanazani ni kuona au kama umekaa kwenye cinema au TV no you get it wrong. Wakati tukianza kufanya Meditation sio mimi tuu hata wenzangu kwenye group walichukulia hivyo, tulikuwa tukipata session za discourse tulishindana kueleza nini tumeona au kusikia ili kumu impress Master wetu, yeye alikuwa anakaa kimya as if tuko sawa (I think was part of his teaching technics). Baadae sana nilikuja jua maana ya Third Eye. Third Eye ni Utambuzi au realization ambayo inakutokea sio wakati meditation bali hata ukiwa hauko kwenye meditation. Realization it occur in moment bila kuwa calm inakupita.

Tunafanya meditation, Yoga, Fasting, Vegetarianism ili kupata high concentration of mind and body calmness in order to achieve transcend mind state of consciousness na kufika kuwa kwenye higher level of conciousness. Kwa kawaida tuna kuwa kwenye level zinakuwa controlled na mwili na akili yaani Awakening, deep sleep, dreaming. High level ni Transcend or self realization, cosmic or bliss, Causal and Oneness.

Hii ni Hali ya kuwa, To Be. Either unakuwa macho au Umelala.

Ukilala unakuwa Umelala fofo au ndotoni.

Ukiwa macho ukakuwa Fikrani lakini pia unaweza kuwa Rohoni (Kigumu kuwa) hapa ndio tunahitaji kufanya mazoezi ilituwe kuwa Rohoni hii inanza tuu pale utaweza ku-control hali ya kufikiri. Meditation, Yoga, fasting, Vegetarianism and others Cults, kama kum-Fu, Rastafarian, Zecons zinatupa mazoezi na uzoefu wa kuwa kwenye hali za juu za kiroho.

Higher level of consciousness attained unapata uwezo wa kufumbuliwa mengi ambayo yako juu ya upeo wa mtazamo wa kawaida kwa ushuhuda wa juu usio fikirika na akili.

Ni kweli kwenye meditation inategemea na hali gani ya level of concetration and body calmness uliopata waweza Experience mambo mengi tuu lakini ni there is nothing to associate with God knowledge, unaweza sikia hali bliss, au kuona Void, sikia sussing sounds, astroprojections, unaweza kupata powers mbalimbali kikubwa sana ni realization after meditation. Unapoana na kusikia halafu uka translate meaning ya unachokiona au kukisikia ujue ni akiri ndio inafanya hivyo, hivyo utakuwa bado uko hali ya fikra, Na akiri yaweza kukuleta imagination na illusination.

Nitakufa Experince yangu ya kufungua Third Eye.

Baada ya kufanya long Meditation ( its take a week or two) iliyoambataka na Fasting, ilijikuwa wakati fulani sikujua what is going on, nilikuwa najiraumu sana kuwa nilikuwa nimesinzia. Tulikuwa group of la watu saba au sita, maana mmoja wetu alishindwa na akaachia njaani. Tolipo maliza na ku-break fasting tukaenda KOKO Beach tukipata upepo wa bahari.

Wakati tumekaa ilipita Couple moja matata sana, dada mrembo sana na mkaka wameshikana viunoni wanatembea kando ya bahari na dada anajibebisha kwa saana. Nilijikuta nimekubwa na butwaa, sio kwamba sikuwahi kuona couple nzuri kabla lahasha, au walifanya kitu cha ajabu wala sio.

Nilimshangaa yule mdada anavyojifanya mwana mke, lakini pia yule kaka anavyojifanya mwanaume, pia niliwaangalia wenzangu na mimi mwenyewe nikaona hatuko sawa, yaani wote kama tuko location tunaigiza kila mmoja kwa nafasi yake. Wenzangu waliona kuwa nimeshangaa, waliponiuliza sikuwajibu nilikaa kimya. Lakini nilipopata session ya kum cosult Master nilimsimulia. Aliniambia kwa mara ya kwanza umefungua jicho la Tatu, umeona kisichoonekana na macho ya mwili. Umetumia Roho. Kiroho tuko sawa, hakuna mwanaume wala mwanamke, in English aliniambie there no Qualities or Genders and from now on regards yourself as "GREAT SOUL" level ya kupata self realization.

Kuhusu Uchawi na Wachawi kama nilivyosema hapo juu inategea na karama zako, sio lazima uwe na third eye, unahitaji high concetration na Calm mind, Power hailazimishwi, na ni unique, mimi ni Clairvoyance na niko telepathic na nilipata kabla ya kufungua third eye, ilinifanya niwe expelled kwenye group, ila siinjoi kabisa nalazimika kupiga K-Vant na kula nyama choma saana.
Aisee

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Habari mkuu Rakims ?
Naomba unisaidie hapa, nimekuwa nikiona kila baadhi ya watu wanaofanya meditation wanapenda sana kunywa kahawa, hata wachina, Je, Kuna uhusiano gani/ wowote Kati ya meditation na kahawa?
Hakuna uhusiano wowote mkuu kati ya kahawa na meditation isipokuwa watu wengi wanaofanya meditation hupenda kunywa kahawa kwa ajili ya kupata harufu yake inapendeza katika ulimwengu wa kiroho na pia ni nzuri katika kustimulate pineal grand

Rakims
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom