Akhy D JF-Expert Member Joined Jun 10, 2013 Posts 361 Reaction score 420 Jul 2, 2013 #1 Ziro Ndio nambari inayoanza kabla ya moja, lakini ukiiweka kabla ya moja husomeka moja (01) na ukiiweka baada ya moja husomeka kumi (10).
Ziro Ndio nambari inayoanza kabla ya moja, lakini ukiiweka kabla ya moja husomeka moja (01) na ukiiweka baada ya moja husomeka kumi (10).
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,329 Reaction score 111,557 Jul 2, 2013 #2 Karibu sana JF...
A Father JF-Expert Member Joined Nov 11, 2012 Posts 1,396 Reaction score 621 Jul 2, 2013 #3 Karibu sana JF...
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,961 Reaction score 13,938 Jul 2, 2013 #4 Karibu sana JF mjukuu...
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,831 Reaction score 172,416 Jul 2, 2013 #5 Karibu mgeni, unamaanisha nini?
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,419 Reaction score 3,050 Jul 2, 2013 #6 Karibu JF.
Akhy D JF-Expert Member Joined Jun 10, 2013 Posts 361 Reaction score 420 Jul 3, 2013 Thread starter #7 Ahsanteni sana nimekaribia WAPENDWAAAAA
Akhy D JF-Expert Member Joined Jun 10, 2013 Posts 361 Reaction score 420 Jul 3, 2013 Thread starter #8 Evelyn Salt said: Karibu mgeni, unamaanisha nini? Click to expand... Namaanisha kua: wote tumezaliwa na Sifuri (yaani hatuna kitu) lakini unapopiga hatua moja mbele katika maendeleo thamani yako inaongezeka Mara kumi. 0 - ulipozaliwa 01 - wakati unafanya kazi 10 - baada ya kufanikiwa
Evelyn Salt said: Karibu mgeni, unamaanisha nini? Click to expand... Namaanisha kua: wote tumezaliwa na Sifuri (yaani hatuna kitu) lakini unapopiga hatua moja mbele katika maendeleo thamani yako inaongezeka Mara kumi. 0 - ulipozaliwa 01 - wakati unafanya kazi 10 - baada ya kufanikiwa
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,831 Reaction score 172,416 Jul 3, 2013 #9 Akhy D said: Namaanisha kua: wote tumezaliwa na Sifuri (yaani hatuna kitu) lakini unapopiga hatua moja mbele katika maendeleo thamani yako inaongezeka Mara kumi. 0 - ulipozaliwa 01 - wakati unafanya kazi 10 - baada ya kufanikiwa Click to expand... ahsante
Akhy D said: Namaanisha kua: wote tumezaliwa na Sifuri (yaani hatuna kitu) lakini unapopiga hatua moja mbele katika maendeleo thamani yako inaongezeka Mara kumi. 0 - ulipozaliwa 01 - wakati unafanya kazi 10 - baada ya kufanikiwa Click to expand... ahsante
Mbuna JF-Expert Member Joined Jul 3, 2013 Posts 269 Reaction score 71 Jul 3, 2013 #10 Karibu sana, hata mimi leo ndio nimejiunga humu ndani
bily JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 8,029 Reaction score 5,815 Jul 3, 2013 #11 karibu mkuu via jf rules