Mwanzo mgumu

Mwanzo mgumu

salum mabura

Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
67
Reaction score
5
Leo ndo mara ya kwanza kupost ndani ya jf lkn muda mfupi tu baada ya kupost kifurushi kikaniishia,hivyo ikanibidi nikate internet na kwenda kununua vocha sasa nimerudi kwenye post yng nimekuta watu wamechangia lkn nataka kuwashukuru kwa makaribisho mazuri nimeshindwa sehemu ya kujibu siioni na nimetakiwa niingize password upya nilipoingiza ndo nikaibukia mbali kabisa
 
kumbe siko mwenyewe . ? Jf vyumba vingi hata me nimejitela ,nashangaa shangaa 2 . .
 
salum mabura na google helper karibuni chitchat ila kumbukeni kuzingatia vigezo na masharti,kubwa msitongoze mwanamke hapa wote wameolewa na waume zao Wako hapa hapa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom