Mwanza

Ya mzunguko we unaijua Mza vizuri mawazo uliyonayo yalikuwa kichwani kwangu na huo ndo ukweli hapo mza mwanamke mzuri akifika akaa wki tu mji wote unakujua unafofanya kazi na kuishi .Halafu watu wa mikoani wanafikiri hotel nzuri Mza ni Lakairo tu kitu Victoria Palace bwana.Sincerely nimelala hotel nyingi sana lakini sijakuta customer care kama ya Victoria Last year ndo nilienda cjui kama bado wanamaintain
 
Ndo iko maeneo gani?
 
IMG_2654-1.jpg

kamangaferry20.jpg

kamangaferry7-1.jpg

IMG_2256-1.jpg

IMG_2254-1.jpg
 
Ya mzunguko we unaijua Mza vizuri mawazo uliyonayo yalikuwa kichwani kwangu na huo ndo ukweli hapo mza mwanamke mzuri akifika akaa wki tu mji wote unakujua unafofanya kazi na kuishi .Halafu watu wa mikoani wanafikiri hotel nzuri Mza ni Lakairo tu kitu Victoria Palace bwana.Sincerely nimelala hotel nyingi sana lakini sijakuta customer care kama ya Victoria Last year ndo nilienda cjui kama bado wanamaintain

mkuu La Kairo na nyingine chache ndiyo hotels, kwani hapo Mwz nyingi ni INN, LODGE, MOTEL, etc...kuna tofauti kwa kila moja!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom