Mwanza

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,396
403918_371170532952217_1076597945_n.jpg DSC01683.JPG

wakati naenjoy mandhari ya mwanza
 
yah mwanza ni pazur,
even its weather its fair, samaki ndo ucseme, mzunguko wa hela mkubwa, wadada wazur,
ila vi2 ghalama kidogo
 
ila watu wa mwanza hawajui kuvaa vizuri pamoja na hali nzuri ya hewa,,,,si wote ila wengi ukilinganisha na miji mingine,,,,,vyakula hakuna variaties,,mtaan kama miji mingine,,,,hotel chache,,,wadada wazuri mwanza niwahache saaana,,inashindwa na singida,,,arusha mbeya dodoma,babati,,,himo,,,morogoro,,kwa hayo nilosema,,,ila watu wa mwz wakarim wapole,hewa safi imepambwa na mawe ajabu,,,ni pazuri na majina ya mitaa hayajaathriwa na lugha za kigen,,,,
 
Du umenikumbusha Mwanza kuna siku PW air ilichelewa kuondoka Mwanza tukapelekwa La Kairo Hotel pale pembeni kuna baa wanauza samaki sato wa kuchoma we acha tu.Uku nikipata Castle lite mambo yalikuwa supa.

mkuu ndio siku ile j2, asb? wazungu kuchukua PW air yetu? ..lakini tulienjoy the view, the food La Kairo pale hadi usk!
 
panaoneka pazuri lakini kama hakuna watu

kwa uzoefu wangu wa kuwa mji huu kwa muda mrefu naamini picha imepigwa j2!!ambapo mitaa hiyo ya mzunguko wa ofc za ccm mkoa na sehemu nyingine mjini kati huwa na watu wachache sana.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom