Mwanza: The Cask yawaka moto

vijana kuweni makini na hawa wahudumu wa bar huwa hawakataagi mtu mradi usiwe na mkono wa birika.
Mimi vinaniuzigi vinajifanya vinakunywaga vinywaji expensive wakati havina hela
Na sie mkuu hatutaki kukataliwa mkuu, waendelee tu kutukubalia aseee. ila kwenye hela ni kupambana pima thamani kabla pocket haijaguswaaa
 
vijana kuweni makini na hawa wahudumu wa bar huwa hawakataagi mtu mradi usiwe na mkono wa birika.
Mimi vinaniuzigi vinajifanya vinakunywaga vinywaji expensive wakati havina hela
Hata huyo Marry, ni nadra sana kukuta anakunywa haya mateka wima yetu (local [emoji481]), anakwambia yeye anakunywa zilizopanda ndege [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe unamfahamu vizuri Joe,kama pana mtu anakubishia,achana nae.Au ukute wanachanganya kati ya Joe na Jimmy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…