Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,626
- 5,346
Kweli unajua...Haya bana...ila unaforce kujifanya unajua...kiwanda cha nyakato kisha sasa nyamhongolo ni matunda ya hustle za awali kabisa...wewe unaona matunda ila hujui nyuma yake kuna msoto wa trials na errors kibao...sasa ichukue hiyo ya club (feat jamaa flani jina kapuni) pia kuna hustle ya duka hapo salma cone na umachinga mwingine kibao
Anachokisema ni kweli alikuwa na rasta unamuongelea kaka yake Jimmy...Wewe ndio humjui joe unakija na uwongo kua alimiliki club mwanza hotel,mara alikua na rasta...tunamjua joe toka kwao sengerema yeye na kaka yake,wewe unamjua joe rasta
Rock n Roll pale Capri Point na True Color Moulders...Ningeweza upload picha hapa akiwa na rasi...tokea akiwa saitama japan, ila inaweza reveal identity yangu kwa aliye familiar na nyakati hizo. So kaa humohumo hakuwa na rasta, hajawahi kuwa na club ila kaka yake tu (Jimmy) club ya rock n roll na nini tena? Kiwanda cha plastiki tu au sio?
Na siku hizi maghorofa yanaporomoshwa tu hata hatufikirii jinsi ya kuweza kuwaokoa watu iwapo watapatwa na ajali ya moto kwenye maghorofa hayo marefu!!! Tunangojea mpaka ajali itokee ndio tunaanza kufikiri nini kilitakiwa kufanyika!!!Hakuna zimamoto kama ilivyo kawaida yetu.
Yap ni kweli nakumbuka aliwatolea bastola walipokataa kulifungulia Gari lake.Ni kweli, alienda kunyolewa Butimba baada ya kuzinguana na wale jamaa wa parking...
Watakuwa wamemjua sasa hivi... baada ya hapo ndio akaanza kunyoa...Yap no kweli nakumbuka aliwatolea bastola walipokataa kulifungulia Gari lake.
jamaa akaamua kutumia bastola kufyatua kufuli lililishikilia mnyororo waliotumia kulock tairi LA Gari
jamaa wakashtaki kwamba amewatishia bastola jamaa akapelekwa rumande ndio akanyolewa rasta zake
sasa kuna machawa wake wanajifanya wanamjua siku hizi wanashadadia eti hakuwa na rasta.
Yap mkuu hawa akina tweenty4sevenWatakuwa wamemjua sasa hivi... baada ya hapo ndio akaanza kunyoa...
Inawezekana wamefahamu muda si mrefu, jamaa alikuwa ni rasta kweli, ni kweli alikuwa karibu pale na Salma Cone, jamaa anaongea kichina... kipindi imejengwa PPF Plaza alikuwa na ofisi pale floor ya pili... alipotoka pale kama nakumbuka kina Kigwangala ndio wakachukua pale walikuwa na ofisi yao pale jina nimesahau...Yap mkuu hawa akina tweenty4seven
wanajifanya wanamjua Sana huyo mjuba kumbe mazuzu watakuwa machawa wake
Inawezekana wamefahamu muda si mrefu, jamaa alikuwa ni rasta kweli, ni kweli alikuwa karibu pale na Salma Cone, jamaa anaongea kichina... kipindi imejengwa PPF Plaza alikuwa na ofisi pale floor ya pili... alipotoka pale kama nakumbuka kina Kigwangala ndio wakachukua pale walikuwa na ofisi yao pale jina nimesahau...
Naona kwenye ukurasa wa Cask Insta wanasema huduma zinaendelea na tarehe 30/10/2021 wanamshusha Marioo naona pia kuna statement imetolewa mwisho wa wiki hii watasitisha huduma kidogo...Watakuwa madogo hao.
Hawamfahamu vizuri huyo mjuba.
Jamaa mpiganaji Sana anajua kutafuta chapaa halafu msela.
Hiyo bar yake naamini kabisa hakuna mtu anaueweza kukubali kufanya kazi ya kuhiujumu kuichoma moto manake msela mwenyewe mhuni ana vijana kibao.
Ndio maana nilivyosikia bar yake imeungua cha kwanza nilichofikiria ni yeye mwenyewe kafanya hiyo ishu ili alipwe na bima . Manake hela inatafutwa kwa Njia mbalimbali kwa tunaofahamu.
Kama siyo iwe shoti ya umeme .
Ila Lema wa villa park au manoj wa Malaika hawawezi kumdhuru huyo mshkaji
Hili ni tatizo LA kitaifa hususani maeneo ya mijini Tanzania nzima .Imelalamikiwa muda mrefu jnaharibu mazingira kwq kupiga muziki kwa sauti kubwa na kusababisha bugudha kwa wakazi maeneo yale.
Napata picha. Pole sana mkuu. Hali ipo hivyo. Polisi hua wanapita mida yao wanazengeyazengeya wanachukua chao maisha yanaendelea. NEMC ni big failure kwenye nchi hii.Hili ni tatizo LA kitaifa hususani maeneo ya mijini Tanzania nzima .
NEMC hili tatizo wameshindwa kulitatua
Makanisa yanapiga makelele , mabar nayo yanapiga makelele.
Nilihamaga maeneo ya kirumba kutokana na makelele ya hapo villa park kabla hajatengeneza soundproof club enzi hizo na bar ya pembeni ilikuwa inamilikuwa na jamaa alikuwa mhasibu wa jiji Jina nimemsahau .
Yaani glass zilikuwa zinagongana Kwenye kabati kutokana na mtetemo wa mziki.
Sasa hivi nimekumbana na hiyo kero , kuna sehemu nimehamia tokea 2017 ( nyumbani kwangu ) kuna mshakji tena namfahamu kafungua Lounge Ina Kama mwezi hivi ni shida kuanzia Jumatano hadi Jumapili full mziki Polisi wanapita kuchukua posho wanaondoka yaani hapa jumatatu na jumanne ndio tunalala .
Jamaa mwenyewe mcheshi nikifika Kwenye lounge yake hiyo kama yupo lazima anifate anisalimie na kumuelekeza muhudumu bili yangu yote atalipa .
Majirani wenzngu nao hivyo hivyo anawakirimu fresh hadi anatuweka dilemma ya kumwajibisha .
Ingawaje tumeamuwa tumwambie anatukera na mziki wake mkubwa hata Kama ni mkarimu aupunguze watoto wanashindwa hata kusoma au kuangalia TV kwa utulivu
Mmefanya nn tena nyie walevi dah
Naona kwenye ukurasa wa Cask Insta wanasema huduma zinaendelea na tarehe 30/10/2021 wanamshusha Marioo naona pia kuna statement imetolewa mwisho wa wiki hii watasitisha huduma kidogo...
sasa najiuliza itajengwa kwa siku ngapi mpaka tarehe 30 na huduma zinaendelea kwa namna gani...?!
πππππ vipi na wewe jirani ulikuwa unachachuaKumbe na wewe ulikuwa unakagonga!
Diamond napamudu vyema. kati ya moja ya sehemu ambayo nikifika watoto wote macho kwangu ni pamoja na hapo πππ hata Muncy nilipenyeaga hapoHuu ndo muda wa kukapa manoti kasije kakahamia hapa Diamond wakora wengi sana hapa hahaha Mkuu
ila nilibadilishaga gear pale kuna ka antonia, ila abayo alinisumbua sana alikuwa anajida kama wa mbele kalikuwa kahawa kule πππKumbe na wewe ulikuwa unakagonga!
Mkuu kale ka chaga kumbe na wewe umeshatafuna.....roho imeuma sana, nilikuwa na kahuduma flani hapo kanaitwa ka marry [emoji19][emoji4][emoji4][emoji4].. hiki kiwanja ndio kilifanya niwe mwanza mwanza kila weekend [emoji41][emoji41]