Mwanza ni jiji tamu ukiwa na pesa

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,722
Tutafute pesa hata kujenga daraja la bilioni na mabehewa. Mwanza ni jiji nalo likubari sana kuanzia hali ya hewa na kitoweo cha ziwa.

Mwanza ukiwa na pesa unaishi maisha mazuri, swala la starehe Mwanza kupo vizuri sana. Unaweza kujichimbia sehemu nzuri kila kona, mpaka sasa watu Igoma, Buzuruga n.k wanamaliza huko huko.

Mwanza kuna totozi zote za Kanda na nje ya Kanda, maisha ya mwanza ifikapo 2023 nitatimiza ndoto kununua kiwanja.

IMG_0331.jpg
 
Hivi kuna Jiji ambalo ni tamu kweli hata ukiwa huna pesa! Tanga kwenyewe ni raha, ukiwa na hela!! Sembuse kwa hao Wasukuma wa Mwanza!!!
 
Back
Top Bottom