mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,402
Kwahiyo wanyonge ndo haki yao kuchafua mazingira hovyo?Sharifu ni jina la vikundi vya vijana wanaotarajiwa kumwagwa na jiji la Mwanza mitaani kwa lengo la kuwapiga faini ya wale wote watakao bainika kuchafua mazingira. Uwe umetupa taka hovyo ama hujaweka mazingira safi utakamatwa na sharifu na kupigwa faini hiyo ya sh elfu 50 papo hapo. Ukigoma utapelekwa kunako sheria.
Source: Startv habari ya saa 2 usiku huu.
My take. Hii ni TRA nyingine inaingia kazini. Itaitwa Sharifu Revenue Authority. Tayari kuna ile ya adhabu za makosa ya barabarani...sote tunajua maumivu yake.
Serikali hii ni bunifu sana. Lkn huu ubunifu mbona siyo rafiki kwa mnyonge?
Suala la penalty barabani ni Suala ambalo Serikali inahitaji pongezi, kwani si imekusanya mapato bali tabia za watumiaji Wa vyombo vya moto wamejirekebisha kwa kutovunja hovyo sheria za barabarani, hivyo hata ajari zimepungua kwa namna flani