Mwanza mpoo? Nimewatembelea leo

Nasikia vila mvua ikinyesha hapafai - huko siendi.

Tai five niliwahi kwenda mvua iliponyesha wahudumu walianza kutuhamisha kwa kutumia mwavuli - siendi,

HUku Hill front naona kumetulia ila hakuna mishemishe

tatizo huwa mnapenda kukaa mbele ili muwahi kuona.njoo villa utanikuta pale juu v.i.p uone kama kuna mvua itakayokusumbua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom