Nauza kiwanja Kanyerere-Mwanza

no u

Member
Jan 8, 2022
22
14
Habarini za leo.. ninauza kiwanja kipo kanyerere center ni mwendo wa dakika 10 kukifikia liko tambarare, umeme na maji vimefika..

Kiwanja ni 18m upana kwa 40m urefu, kiwanja kimepimwa ila hati sijaifuatilia..

Ninakiombea 13 milion (tunaweza kuongea pia)

Sijaambatanisha picha maana siishi mwanza kwasasa ni ni miaka kidogo nimetoka huko kukiangalia kwahiyo hata picha zenyewe siko nazo kwa simu hii...

Tuwasiliane kwa 0657510531
 
1.Umesema "kiwanja kimepimwa ila hakina hati," Je, ni Kiwanja Namba ngapi?Kitalu gani na kipo wapi (location) ipi hasa?
2.Kilipimwa (surveyed) lini?
3. Ulikipima wewe mwenyewe binafsi kwa gharama zako au kilipimwa na Serikali?
4. Nyaraka zote kuhusu umiliki wa kiwanja hicho unazo?
5. Ni nani hasa mmiliki wa Kiwanja hicho?
 
1.Kiwanja ni changu ndio
2. Nimekipima mwaka 2019
3. Nyaraka ninazo za mauziano
4. Toka nimepima sikuwahi kupata muda wa kwenda kufatilia tena kuhusu hati maana niliondoka mwanza
5. Tulitoa gharama za upimaji kwa watu wote tulio na viwanja huko lilikua zoez jumuishi
 
Habarini za leo.. ninauza kiwanja kipo kanyerere center ni mwendo wa dakika 10 kukifikia liko tambarare, umeme na maji vimefika..

Kiwanja ni 18m upana kwa 40m urefu, kiwanja kimepimwa ila hati sijaifuatilia..

Ninakiombea 13 milion (tunaweza kuongea pia)

Sijaambatanisha picha maana siishi mwanza kwasasa ni ni miaka kidogo nimetoka huko kukiangalia kwahiyo hata picha zenyewe siko nazo kwa simu hii...

Tuwasiliane kwa 0657510531

yaan kanyerere ni nje ya Mji wilayani huko uuze kiwanja milion 13 kazi kweli nani wakununua kiwanja misungwi kwa bei hyo
 
Jamaa umedanganywa kuwa kanyerere sasa imechangamka. Kiwanja chako utauza kwa bei kubwa.

Hata buswelu yenyewe inayojengwa kwa kasi siwezi nunua kiwanja kwa hiyo bei. Huko mbwinde utamuuzia nani?
 
1.Umesema "kiwanja kimepimwa ila hakina hati," Je, ni Kiwanja Namba ngapi?Kitalu gani na kipo wapi (location) ipi hasa?
2.Kilipimwa (surveyed) lini?
3. Ulikipima wewe mwenyewe binafsi kwa gharama zako au kilipimwa na Serikali?
4. Nyaraka zote kuhusu umiliki wa kiwanja hicho unazo?
5. Ni nani hasa mmiliki wa Kiwanja hicho?
Maswali ya Msingi sana haya
 
Jamaa umedanganywa kuwa kanyerere sasa imechangamka. Kiwanja chako utauza kwa bei kubwa.

Hata buswelu yenyewe inayojengwa kwa kasi siwezi nunua kiwanja kwa hiyo bei. Huko mbwinde utamuuzia nani?
Na ndio maana nilisema maongezi hapo yapo hii ni biashara mzee
 
Atakaye hitaji kujihakikishia jiji uwepo wa kiwanja hiko ni

Plot no 836, block c
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom