Mwanza mpoo? Nimewatembelea leo

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,554
JF mlioko mwanza city nambie kiwanja kipi kizuri nikajichanganye nanyi tufaamiane.
 
tupo jamani...viwanja mbona kibao...kuna tamal beach,kuna chakolips beach afu leo una muziki wa ukweli karibu sana. afu inategemea wataka kiwanja cha aina gani!
 
kuna goldcrest ktkt yd jiji,kuna tilapia, ryans bay,rock n roll zote za katkat ya jiji. 'kazi kwako'
 
Husninyo,malaika mbali bana njoo nae huku Igoma kwenye tingisha!!
 
Last edited by a moderator:
Husninyo,malaika mbali bana njoo nae huku Igoma kwenye tingisha!!
 
Last edited by a moderator:
ii ivi kumbe mwanza tupo wengi ivi jf?mida hii nipo home ila badae ntaenda villa kupata msosi huku nikienjoy bendi live ya super kamanyola
 
ii ivi kumbe mwanza tupo wengi ivi jf?mida hii nipo home ila badae ntaenda villa kupata msosi huku nikienjoy bendi live ya super kamanyola

Nasikia vila mvua ikinyesha hapafai - huko siendi.

Tai five niliwahi kwenda mvua iliponyesha wahudumu walianza kutuhamisha kwa kutumia mwavuli - siendi,

HUku Hill front naona kumetulia ila hakuna mishemishe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom