Mwanza mnajiaibisha, hamjielewi nini?

Mwanza mnajiaibisha, hamjielewi nini?

Mimi siamini mwanasiasa atakujakunisaidia mimi kwa maisha yangu mpaka nimsujudu na kulazimisha au kuwashawishi wengine wamfuate yeye kama mkombozi.

Waache wao wafuate imani zao na mapenzi yao na wewe ufuate msimamo wako pia.

Wewe unawashangaa na wao wanakushangaa.[/QUOTE


Kama wengine wanavyomfuata ENL huko Masaini!
 
Weeee komea fela ... hata kama ni wewe mwezi haujaisha mitaa ya jirani limeponda nyumba na kuua watu sasa tuone jiwe jingine linalelengeta tusikimbie.
We si ungekuja kulalamo wewe sasa yee

Haaa haaaa!!!mkuu umeniacha hoi hapo"Lina lelengeta"
 
Magufuri ni Msubi subtribe ya wanzinza na umati ndugu hata wewe ukienda Mwanza utapata tu umati wala usihofu, hivi na Zanzibari ni wasubi
 
fredericko,

Inawezekana una point fulani, lakini hebu fanya utafiti au uchunguzi mdogo kabla ya kuweka uzi.


1. Kenya ya 2008, si Kenya ya leo katika nyanja nyingi tu (Ujenzi, Utalii, Elimu, Utawala bora, uhuru) labda si Kenya ninayoijua mimi.

2. Sijui kama jiografia yako iko mbali au la!Huko atokako Magufuli ni Geita na ni mkoa si wilaya/halmashauri ya Mwanza. Sasa mbona una_attack watu wa Mwanza hawajielewi!?



Jambo wanalokosea kanda ya Ziwa ni kuchanganya historia binafsi na maslahi ya Taifa. Yes, Magufuli ni mchapakazi hodari tu(ingawa naye ana madhaifu na scandals zake nyingi) lakini hawezi kubadilisha chochote kwani akiingia mfumo ni ule ule("...mmenipa heshima kubwa sana Sitawaangusha").

Watu wa kanda ya ziwa wenye mtazamo mbovu ni kwamba 'angalau katika historia ya Tanzania wao wakiwahi kutoa Rais', sasa kama walikuwa wakisema CHADEMA sijui UKAWA wanahubiri 'ukanda', tofauti iko wapi?
 
Last edited by a moderator:
wewe ndio hujielewi, how come wasimsapoti kijana wao wawasapoti kina mboye walio busy kujenga jamhuri ya kaskazini!
 
Hahaaa... watu kumbe hawapendi maendeleo ya wengine. Kabla ya Uraisi alikuwa Msukuma baada ya kuanza mbio anakuwa mzinza, msubi etc mwishoe mtasema mchaga. Imba kwanza "Aliselema Alija" ndo ujue hicho kitu ni kutoka SUKUMA LAND PURE. Acheni wivu vijana.
 
Ili ujue kuwa anatambulika kuwa Msukuma kumbuka JK alimwambia AKANDAMIZE KIDOGO wakati wa kuomba kura kwa wanaccm wenzake.
 
Khaa!! Bongo bana, Mtu akitenda au kufikiri tofauti na maslahi yako basi eti anajiabisha au hajielewi. .
 
Back
Top Bottom