Mwanza mnajiaibisha, hamjielewi nini?

Mwanza mnajiaibisha, hamjielewi nini?

ingekuwa mchaga kila mtu angesema WAKABILA ila mzinza hapo nderemo sii bara wala pwan wanadai ukabila anzia leo heshm ichukue mkondo wske
 
Mimi siamini mwanasiasa atakujakunisaidia mimi kwa maisha yangu mpaka nimsujudu na kulazimisha au kuwashawishi wengine wamfuate yeye kama mkombozi.
Waache wao wafuate imani zao na mapenzi yao na wewe ufuate msimamo wako pia.
Wewe unawashangaa na wao wanakushangaa
Aisee,leo nimekupendeje?
Umekula nini hadi umeshuka points fupi na clear ile mbaaya.Maana umekaa nutro
Ubarikiwe,
 
Miaka mitano ya chadema tumeshika adabu hatufanyi makosa tena.

Hahahaha,aisee kumbe lile zogo loote hakuna jipya?
We watu wanasusa kila kitu unafikiria watatetea nini wananchi,wakati wanakula posho then wanasepa zao.
 
Ni Msukuma, full stop!!

Ni sehemu ya Wasukuma waliohamia Uzinza kwa ajili ya kufuata malisho miaka ya '50 na '60!! Ni Wasukuma waliotoka 'Bugwe' (yaani ng'ambo ya ziwa Viktoria ukiwa upande wa Sengerema). Watu wasipotoshe hapa!

Mnataka kutambika?
 
Mwenyeww Niko mwanza, na ni msukuma kabisa Ila kwa hil swala mwenyew nimebak nawashangaa wenzangu
 
Aisee,leo nimekupendeje?
Umekula nini hadi umeshuka points fupi na clear ile mbaaya.Maana umekaa nutro
Ubarikiwe,

Sasa ndugu yangu upendo huo naomba uendelee
Mie points ninazo daily ila najitoaga ufahamu tu kuchangamsha jukwaa siku ziende.
 
Hata wewe mtoa maada haujielewi,,, magufuli siyo msukuma , ni mtu mwenye asili ya watu wa Bihalamulo,,,na amekulia mwanza,,,hiyo kulelewa dar es salaam haimaanishi wewe ni mdengereko. Pia jimbo la mwanza lina historia yake kuwa halijawahi kutawaliwa na Mbunge zaidi ya miaka 5,, hivyo upinzania ulipaswa kuleta mtu mwingine tofauti na huyo mjaruo-wenje vinginevyo jimbo linarudi ccm,,, hii nakupa uhakika kabisaaaaaaaaa.....prove yake ni mwezi wa 11 mwaka huu
 
Mimi siamini mwanasiasa atakujakunisaidia mimi kwa maisha yangu mpaka nimsujudu na kulazimisha au kuwashawishi wengine wamfuate yeye kama mkombozi.

Waache wao wafuate imani zao na mapenzi yao na wewe ufuate msimamo wako pia.

Wewe unawashangaa na wao wanakushangaa.

Anajiita msukuma wakati hata kisukuma hajui,hata hivyo siyo kweli kwamba watu wa kanda ya ziwa wote ndio wapo nyuma ya makofuli
 
Mleta mada bila shaka kuna jambo kubwa limekubana moyoni ni bora usubiri wakati wake ndio ulitoe, ni lini watu wote wa Mwanza walitamuka kwamba hawaitaki CCM, una ushahidi gani kwamba wote wamefurahia kuteuliwa kwa Magufuli?, kama suala ni umati wa watu wanaojitokeza kwani umati huo ndio kwanza umejitokeza kwa Magufuli tu hapo Mwanza?

Hata hivyo haukuwa umati mkubwa kulinganisha na population ya mwanza,
 
ingekuwa mchaga kila mtu angesema WAKABILA ila mzinza hapo nderemo sii bara wala pwan wanadai ukabila anzia leo heshm ichukue mkondo wske

Tunashukuru kwa kuliona hilo mkuu ili kuweka mambo sawa
 
Hata wewe mtoa maada haujielewi,,, magufuli siyo msukuma , ni mtu mwenye asili ya watu wa Bihalamulo,,,na amekulia mwanza,,,hiyo kulelewa dar es salaam haimaanishi wewe ni mdengereko. Pia jimbo la mwanza lina historia yake kuwa halijawahi kutawaliwa na Mbunge zaidi ya miaka 5,, hivyo upinzania ulipaswa kuleta mtu mwingine tofauti na huyo mjaruo-wenje vinginevyo jimbo linarudi ccm,,, hii nakupa uhakika kabisaaaaaaaaa.....prove yake ni mwezi wa 11 mwaka huu

Ukabira upo ndani ya damu yako kabisa,na hautibiki kabisa
 
Tangu niliposikia kuwa wakazi wa Mwanza wamelikimbia jiwe na kuyaacha makazi.....nikajua kuwa wakazi wa huko hawapo sawa...........
 
Hata wewe mtoa maada haujielewi,,, magufuli siyo msukuma , ni mtu mwenye asili ya watu wa Bihalamulo,,,na amekulia mwanza,,,hiyo kulelewa dar es salaam haimaanishi wewe ni mdengereko. Pia jimbo la mwanza lina historia yake kuwa halijawahi kutawaliwa na Mbunge zaidi ya miaka 5,, hivyo upinzania ulipaswa kuleta mtu mwingine tofauti na huyo mjaruo-wenje vinginevyo jimbo linarudi ccm,,, hii nakupa uhakika kabisaaaaaaaaa.....prove yake ni mwezi wa 11 mwaka huu

Wenje ndiye chaguo la wana wa mwamza,penda husipende
 
Obama mzawa wa USA na Magufuli mzawa wa kwao nchini Taanzania yanaeendana endana vipi haya mawili?
 
Tangu niliposikia kuwa wakazi wa Mwanza wamelikimbia jiwe na kuyaacha makazi.....nikajua kuwa wakazi wa huko hawapo sawa...........
Weeee komea fela ... hata kama ni wewe mwezi haujaisha mitaa ya jirani limeponda nyumba na kuua watu sasa tuone jiwe jingine linalelengeta tusikimbie.
We si ungekuja kulalamo wewe sasa yee
 
Back
Top Bottom