Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,894
- 10,123
Mwisho mtakuja kusema Mganda sasa
Samahani mkuu...mkuu nilikuwa kwenye masihara tu.....ugali mtamuWeeee komea fela ... hata kama ni wewe mwezi haujaisha mitaa ya jirani limeponda nyumba na kuua watu sasa tuone jiwe jingine linalelengeta tusikimbie.
We si ungekuja kulalamo wewe sasa yee
Hata hivyo haukuwa umati mkubwa kulinganisha na population ya mwanza,
Mwisho mtakuja kusema Mganda sasa
akienda diamond tu watu wanafurika. sembuse magufuli!?
utapata faida gani???.
Ahaa!sasa nakubali kabisa kwani Wazinza ni watu wasiopenda ujinga ujinga!Nilikuwa nashangaa sana kwani nawajua wasukuma si watu makini unless kama ana agenda ya kukomoa mtu,hapo utamuona mwenye bidii kwelikweliMagufuli sio msukuma ni mzinza ila ni kabila Dogo sana sema kalelewa na baba wa kufikia msukuma.
I support you.I think the guy had no information that Kenya is moving to a middle class country.if you decide to tell a lie. At least tell an intelligent lie.
Ukabira upo ndani ya damu yako kabisa,na hautibiki kabisa