Ni kweli huo mdomo ni muhuri toshaHuyo sio msukuma ni Mhaya
Wahaya wanapenda sifa sana mfno kuna mhaya alitembelea ndugu zake dar akasikia mke na bwana wanaitana my daring karudi kwao kajiona ameelimika kaanza kumuita mke wake my bukobaring yaan nae aonekana mjanjaKwanini mkuu?
Mkuu angalia foxy asije kukuambia shule mlienda kusoma ujinga maanaHakuna muhaya mshamba asojua mtungi wa gesi....huyo kama sisio mnyaki ni msukima
Kwa wanyak yusa umechemka... Iyo ni Ngosha...Hakuna muhaya mshamba asojua mtungi wa gesi....huyo kama sisio mnyaki ni msukima