Niliona Nnauye anawaonyesha wazomeaji kidole kama ishara ya kufirwa. Nimemwona kama kiongozi asiye na Busara,akiri na hekima,naomba apewe ushauri nasaha namna ya kuvumilia wananchi pale wapomkataa.
Mwenyekiti wa wanawake Chadema Wilayani Kwimba Mama Monica Jimotolo, amerudisha kadi ya chama hicho na kuingia rasmi CCM.
Mama Jimotolo alieleza sababu kuu iliyomfanya kuingia CCM ni kuchoshwa kwake na siasa za chuki na uchochezi ambazo zinalenga kuvunja amani na mshikamano wa nchi yetu.
Alieleza hadhara hiyo kuwa baada ya kufanya uamuzi huo, wengine kumi na saba wameongozana naye na kusema chama hicho kimekufa wilayani hapo. Wanachama hao walikaribishwa na Mwenyekiti wa CCM taifa na kupewa kadi za Chama Cha Mapinduzi.
Kila la kheri huko aendako lakini Chadema kwimba iko imara kuliko kawaida, chini ya uratibu mahiri wa Leticia Mageni Nyerere.
Mwenyekiti wa wanawake Chadema Wilayani Kwimba Mama Monica Jimotolo, amerudisha kadi ya chama hicho na kuingia rasmi CCM.
Mama Jimotolo alieleza sababu kuu iliyomfanya kuingia CCM ni kuchoshwa kwake na siasa za chuki na uchochezi ambazo zinalenga kuvunja amani na mshikamano wa nchi yetu.
Alieleza hadhara hiyo kuwa baada ya kufanya uamuzi huo, wengine kumi na saba wameongozana naye na kusema chama hicho kimekufa wilayani hapo. Wanachama hao walikaribishwa na Mwenyekiti wa CCM taifa na kupewa kadi za Chama Cha Mapinduzi.
Nikiona mbali naiona bendera ya CHADEMA ikipepea nchi nzima huku wananchi wakifurahi, nyimbo vgelegele na vifijo 2015.
Hii ni dalili nzuri 2015....CDM tunachukua nchi cha msingi tujipange na tuwe makini.