Mwanza mama mmja ashikwa na Misukule

Eraldius

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
1,120
906
Ni mama wa Kijita mitaa ya Mkombozi Kilimahewa Mwanza mama ashikwa majira ya saa 5 mchana.Inasemekana watoto wanaopoteaga katika mazingira ya kutatanisha anawachukuaga huyo mama.Kakutwa mmoja na wengine kasema atawarudisha baada ya kuwa wametoka kazini. Kachomewa nyumba na mpaka sasa yuko Polisi.
 
Huyo Mmoja alipotea kwa muda gani? Je yuko katika hali yake ya kawaida kiakili na kiafya kwa ujumla? Mama huyo anasema watawarudisha wakirudi toka kazini wapi?
 
Ni mama wa Kijita mitaa ya Mkombozi Kilimahewa Mwanza mama ashikwa majira ya saa 5 mchana.Inasemekana watoto wanaopoteaga katika mazingira ya kutatanisha anawachukuaga huyo mama.Kakutwa mmoja na wengine kasema atawarudisha baada ya kuwa wametoka kazini. Kachomewa nyumba na mpaka sasa yuko Polisi.

Kumbe wajita nao nuksi?
 
kwa kuwa mmechoma nyumba yaake hawataweza kurudi tena kwani mmeharibu vifaa vyake hivyo watabaki hukohuko
 
Vipi,hujatueleza kinachondelea! Bado yupo Polisi,na hao watoto alio dai wapo KAZINI,wamekwisha onekana?
 
mbona mwanzisha mada hajibu maswali muhimu yanayoulizwa, au kapita ile njia fupi ya muongo?
 
Some people utandhani huwa wanaota mchana wanaleta habari kisha wanarudi usingizini

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
[h=3]BIBI ANAYEFUGA MISUKULE ACHOMEWA NYUMBA[/h]
486561_503182903042297_1895594297_n.jpg
Nyumba ilichomwa moto na kuvunjwa vunjwa.
Nyumba ya bibi Irene iliyo teketezwa leo kwa moto kwa tuuma za uchawi. Bibi huyo ambaye amekuwa akisadikiwa kuwa na tabia ya kuwachukuwa watoto wa majirani zake kwa nguvu ya giza ameumbuka leo baada ya mtoto mmoja aliye potea kwa muda mrefu kwao na kutajwa kuwa alishafariki dunia kisha leo kijana huyo ana kwa ana akakutana na ndugu yake.

KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI

 
sehemu yake ni kwenye motot usio na mwisho vingenevo ageuke na kutubu
 
...kuwa a true great thinker bana! hiyo link uliyotuwekea haina chochote cha ziada ya hiki ulichotuwekea hapa! kwa hiyo hakukuwa na haja ya kutuelekeza twende huko kupata 'Habari zaidi' wakati hakuna chochote cha ziada! Si unajua mkuu kuwa hivi vi-bundle vyenyewe ni vya magumashi magumashi!!
 
Back
Top Bottom