maguzu masese
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 283
- 141
hapakuwa na tatizo. Mkutano ulianza salama pia ukamalizika salama sana. Hakuna kulala mpaka kieleweke.THANX TO ALLAH, hakukuwa na vitu vyenye ncha kali!
Maandamano ya M4C jijini Mwanza jana jioni yalisimamisha shughuli za waendesha magari kwa muda wa nusu saa baada ya mkutano wa ukweli uliofanyika viwanja vya Capri Point. Wafuasi wa CHADEMA walimzuia kamanda Mawazo kupanda gari kuamua kumsindikiza kwa maandamano mpaka hoteli alofikia maeneoa ya Uhuru.
Bara bara za station tokea Capri, barabara ya Nyerere na barabara ya Uhuru zilijaa watu wengi wakipiga kelele kumsindikiza kamanda Mawazo.
Kamanda Mawazo leo anawasha moto wa mabadiliko Bukoba. Mwendo mdundo, hatulali mpaka kieleweke
Maguzu
Mada ilikuwa nini manake naona ameamua kukomaa na Kanda ya ziwa[/QUOT
Hivi mkuu Lwesye kweli upo serious kujua mada ya mkutano?
Maandamano ya M4C jijini Mwanza jana jioni yalisimamisha shughuli za waendesha magari kwa muda wa nusu saa baada ya mkutano wa ukweli uliofanyika viwanja vya Capri Point. Wafuasi wa CHADEMA walimzuia kamanda Mawazo kupanda gari kuamua kumsindikiza kwa maandamano mpaka hoteli alofikia maeneoa ya Uhuru.
Bara bara za station tokea Capri, barabara ya Nyerere na barabara ya Uhuru zilijaa watu wengi wakipiga kelele kumsindikiza kamanda Mawazo.
Kamanda Mawazo leo anawasha moto wa mabadiliko Bukoba. Mwendo mdundo, hatulali mpaka kieleweke
Maguzu
Shhh!!shhhi!! Asikusikie Nape Jeetu Patel utanyimwa posho! Wenzio hawalali usingizi wewe unafananisha people power na Mrema! Hii M4C ni kitu ingine mjomba!sshata mrema agustino alisukumwa kwenye gari lakini hakupata urais
Maandamano ya M4C jijini Mwanza jana jioni yalisimamisha shughuli za waendesha magari kwa muda wa nusu saa baada ya mkutano wa ukweli uliofanyika viwanja vya Capri Point. Wafuasi wa CHADEMA walimzuia kamanda Mawazo kupanda gari kuamua kumsindikiza kwa maandamano mpaka hoteli alofikia maeneoa ya Uhuru.
Bara bara za station tokea Capri, barabara ya Nyerere na barabara ya Uhuru zilijaa watu wengi wakipiga kelele kumsindikiza kamanda Mawazo.
Kamanda Mawazo leo anawasha moto wa mabadiliko Bukoba. Mwendo mdundo, hatulali mpaka kieleweke
Maguzu
hata mrema agustino alisukumwa kwenye gari lakini hakupata urais