Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,577
- 12,334
Ni nyasaka wilaya ya ilemela
Ni nyasaka wilaya ya ilemela
Kunywa pombe mpaka counter iishishiwe vinywaji
Mkuu nikuzunguka tu nakunywa hakuna kuogerea wala mikasiMkuu waweza kwenda PLAZMA Nyegezi kona kama unaenda malimbe, KIlimanjaro Nyegezi Stand, DIAMONDS kona ya bwiru,LEVEL8 Gold Crest Hotel, Richmon buhongwa, Bundersliga Nyasaka katumie kwanza hizo ulizonazo pesa zikibaki uje uulize tena nikupe machimbo mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unataka vituo vya daladala? kuna buhongwa, mkolani, nyegezi stand, mkuyuni, igoma, buzuruga, meko, kishiri, sabasaba, nela, maduka9, ghana, sahara n. k.
Unapanda gari za nyakato sokoni mzunguko wanakushusha buzuruga shule unachukua boda ni jero tu taxi ni buku mbili tu unaenda kula bata mpaka kuku waone wivu msosi wa nguvu huduma nzuri usalama kama ikulu mazingira safi kabisa
Bata siku hizi tumehamia bundesliga mkuu nyasaka mojaKanyerere, ibanda, shibula,luchelele, ilalila, nyashishi,nyan'homango..... maeneo ya bata haya hutajuta
Sent using Jamii Forums mobile app