Mwanza jiji zima hakuna Brown Bread?

Kwa hiyo uumwe wewe kisukali afu uwalalamikie watu wa Mwanza? 😜😜

Ila kiukweli Ni Jiji la kishamba Sana
 
Nenda Bakery ya Royal Oven
 
Kwa hiyo uumwe wewe kisukali afu uwalalamikie watu wa Mwanza? 😜😜

Ila kiukweli Ni Jiji la kishamba Sana
Kinachonishangaza ni jinsi gani hamuheshimu "culture "ya sehemu husika, Huwezi kuondoa culture ya kimasai Arusha Kama ambavyo, Huwezi kuiondoa culture ya kisukuma mwanza.
Hata Dubai kuna culture ya waarabu haiwafanyi kuwa washamba.
 
Mimi ni mchaga biashara zangu nafanyia mwanza kusema ukweli hii bidhaa hipo tena ni nyingi tu na auwezi linganisha mwanza na arusha hata kidogo mwanza ni baada ya dar, wingi wa watu, ukubwa wa city centre, mzunguko wa hela nk.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Haya mambo sijui ya brown bread, brown sugar, low fat milk etc Tanzania bado sana. Wengi tumeyajua tulipoenda majuu hivyo wengi ambao hawatoka yanawatesa. Kwa mfano ukienda dukani unasema nipe sukari na unapewa sukari yoyote.
Hapa ni elimu duni, na uelewa finyu wa mambo ya msingi kama afya zetu na vyakula gani ni vizuri zaidi ya vingine.
Wataalamu (wasomi) wetu hawajaitendea haki taaluma yao.
 
Kuto kujua kwao, haimaanishi bidhaa hiyo hamna, wao huenda Dukani kununua mkate, lakini hawajaulizia mkate wa namna hiyo.

Mimi nipo Dar, ukiniuliza swali la wapi utapata mkate wa namna hiyo, sina jibu, kwa sababu haijawahi kuwa hitaji langu.
Ndio maana nikazunguka sasa kote kule unako weza pata, wanao oka.mikate hawana, migajawa hawana, Super market hawana, sasa pengine unazani nilipaswa kwenda wapi?
 
Haya mambo sijui ya brown bread, brown sugar, low fat milk etc Tanzania bado sana. Wengi tumeyajua tulipoenda majuu hivyo wengi ambao hawatoka yanawatesa. Kwa mfano ukienda dukani unasema nipe sukari na unapewa sukari yoyote.
Sawa ila nenda kama Arusha uliza Mkate wa Brown,ni sawa sema kwa jiji kama Mwanza linapaswa kuwa nayo, ukianimbia Kigoma huko tutakuwa tuna waonea bure ila sio Mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…