Mwanza imeharibika kwa ukahaba

Mkuu pale kitambo sana😂😂 kuna siku nilipita nikaona kuna dada poa flan hv amewaita madogo 3 age ya hao madogo haizidi kidato cha pili akaenda nao wote ndani kwa buku 5 😂.Yani ule mtaa vijana wadogo walishajifunza kununua malaya ata sikuzingine wanakufata ukipita wanasema ata kwa buku 3 wanakubali.
 
Kwaiyo madogo walijipigia kolabo
 
Mengine umeongea sawa, lakin suala la kutopita hiyoo mitaa Yao, vp kama hiyo mitaa ndiyo njia pekee ya kuendea home au njia ya shortcut kufika home.
 
hebu tupiamo tupicha twa hilo usemalo.
 
Na wanaonajipanga huko mitaani ni asilimia ndogo Sana,

Danguro kubwa kwa Sasa liko mtandaoni, kama ulishawahi kuuona msafara wa siafu ndo mitandao ilivyo busy na biashara hii.
Sijaelewa ukisema mtandaoni UNAMAANISHA Nini?kwamba Kuna page insta au telegram au Facebook ambayo Malaya wapo..yaani we upo iringa Malaya yupo dar wanini Sasa uanze kuchart,kutuma nauli n.k taabu yote ya Nini?????
Malaya wapo night club na town center zote
 
Shida ni ukosefu wa mfumo bora wa kuyatambua na kuyawezesha makundi hayo kiuchumi!
Ukiwasikiliza viongozi wa serikali kuhusu uwezeshaji wa wananchi kiuchumi alafu ukaja kufuatilia utekelezaji kwenye halmashauri za serikali utakuta ni vitu viwili tofauti kabisa, wazungu wanaita complete contrally!
Hivyo kutapakaa kwa makundi hayo ni kielelezo cha umaskini wa wanachi wengi kuna watu wanakwenda kwenye madanguro hayo wanakuwa wameacha watoto nyumbani, waakwenda kusaka mlo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…