Mwanza: Diwani wa kata ya Kabila (CHADEMA) ajiuzulu udiwani na kuhamia CCM

Mie naona serikali itangaze kuwa wale wote wanaotaka kuhama vyama vyao wajiandae na itangazwe siku maalum ya kuhama vyama na kusiwe na uchaguzi ili kuepuka gharama na mzigo kwa wananchi basi warudishwe kwenye nyadhifa zao wakiwa na vyama vipya! Na itangazwe marufuku ya kuhama ukiwa ni mwakilishi wa wananchi katika ngazi yeyote ile baada ya zoezi hilo!!!
Ni mtazamo tu
 
Hapana kamanda hiyo itakuwa ni kinyume na demokrasia tunayo ihubiri...tusiwapangie muda wa kuondoka acha demokrasia ichukue mkondo...
 
Hapana kamanda hiyo itakuwa ni kinyume na demokrasia tunayo ihubiri...tusiwapangie muda wa kuondoka acha demokrasia ichukue mkondo...
Mkuu Ruta, asante kwa mchango wako ila najaribu kuangalia gharama na mzigo kwa wananchi, uchaguzi usoisha una tija ipi kwa Taifa? Ukizingatia bado miaka 2 tuingie kwenye uchanguzi mkuu?
 
Mkuu Ruta, asante kwa mchango wako ila najaribu kuangalia gharama na mzigo kwa wananchi, uchaguzi usoisha una tija ipi kwa Taifa? Ukizingatia bado miaka 2 tuingie kwenye uchanguzi mkuu?
Wazungu kutuita many...ni huwa hawakosei.Msamehe bure tu huyo.
 
Bora Chadema waanze upya na watu wenye Fikra Mpya siyo ambao hawajui maana ya kutumikia chama ila ushauri kwa Chadema wabuni namna amayo wanachama wao wataishi kwa Furaha matunda ya dhana ya kujitolea ndiyo haya
 
Kamanda demokrasia ambayo huwa mnaililia kila leo ndio hii... demokrasia ni pamoja na kuchagua chama cha kushare nacho mawazo yake....
Kama deokrasia ni ujinga basi hata Lowasa alifanya huu ujinga hahahahaha

Amenunuliwa hahaha
Chadema hawasikitiki kuondoka wa madiwani na wabunge,chadema inawaonea huruma wananchi wanazama kwenye kivuko kibovu,huku pesa zao zikichezewa kwenye chaguzi
 
Nyie mnanunu binaadamu Kama bidhaa,mungu anawapa adhabu ya kuzamisha vivuko vyenu vibovu,ni Nani Mkubwa alizamisha kivuko kibovu au aliyenunua madiwani na wabunge?
 
Back
Top Bottom