Hili ni gazeti gani na la lini nduguView attachment 554303 View attachment 554304 muonekano wa daraja la kigongo-busisi litakavyokuwa mara baada ya kukamilika.
la uhuru render ilikuwa presented kwenye kongamano la biashara mkoa wa mwanza. nafikiri ilikuwa june this yearHili ni gazeti gani na la lini ndugu
Dah! Mzee umeua kabisa.
Aisee hii saf sn
Nadhani utakuwa umesharudi mwanza
Si tulivotoka na ye akafata, na aliyefuata baada yake keshatoka. Steering ni Kumalija saiviDah bwana Romanus naona jina na sura vyote navyikumbuka kijana vp yule bichwa nasikia alifukuzwa pale kweli??
hahaha mzee kumalija hahahahn mwezi jana nilimcheki town ndani ya suuti kaliiiiiiiiiiiii okay boy wasalimie wotee akina ben masolwa ..,,kihuluma erik francis ,na wengineo aseeeee tunawakaribisha VERSITY...,Si tulivotoka na ye akafata, na aliyefuata baada yake keshatoka. Steering ni Kumalija saivi
Sent using Jamii Forums mobile app