Sir Carter
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 631
- 1,418
Mwanza City iko vizuri...
Hii sehemu ina mamba. Tulikuwa tunapenda sana kwenda mitaa hii na watu wanasemaga kuna mamba. Lakini wenyeji wanasema kama wa miujiza mamba wenyewe