Mchoro wa itakavyokuwa stendi mpya ya mabasi, yatokayo mikoa iliyopo upande wa Mashariki na kaskazin Mashariki mwa mji wa Mwanza pamoja na nchi jirani ya Kenya (Musoma, Sirari, Bariadi, Nairobi , Serengeti, Mombasa) ,ujenzi ushaanza eneo la Kona ya Nyamhongoro, na mkandarasi yupo site day and night...
Zamani stendi hii ilikuwepo eneo la Buzuruga , na Punde stendi mpya itakapokamilika , stendi ya Buzuruga itabadilishwa matumizi....
Mji ambao hauna bugha za maisha & wenye simple life... mji ambao mtu wa kwanza kuamka kwenda kazini ana amka saa 12 asubuhi. safi sana. dar watu wako utumwani , watu wanakimbilia daladala utazani wameona kifo hivyo wanataka kujiokoa.