Kulikuwa na mti hapo uliokuwa ukitumiwa na wakoloni kunyongea watu, sasa wakati wanajenga barabara enzi za mkapa walikata mizizi hivyo ukakauka, ulipokauka wakaukata matawi ukabakia kipisi ambacho kiligongwa na dereva mmoja kikatoka kabisa sasa jiji wameamua kuweka mti artificial mfano wa kipisi cha mwanzo.