Hili ghorofa linaonesha halina ubora kabisa.
Hakuna haja ya flyover pale kwasababu hakuna msongamano wowote ule.Natamani sana Serikali hii ya awamu ya sita ya mama wangetujengea kaflyover hata haka kabei nafuu pale Usagara na mama tutakuwa hatumdai kitu.
View attachment 3402351
Issue sio msongamano kuna Beatification na kupunguza +, Pia kumbuka mji unakua Pia mkuuHakuna haja ya flyover pale kwasababu hakuna msongamano wowote ule.