Kiongoz hivi yale mabati yaliyowekwa mkuyuni kuelekea mswahili usawa wa reli ni nini? Je ni ujenzi wa sgr? Je ni ujenzi wa tuta? Je ni ujenzi flyover ya kupitisha train? Au ni nini? Naombeni mnitoe tongotongo.Nyegezi magorofa yananyanyuka sio mchezo hapo karibu na sheli ya GBP wamezungushia mabati kuna kitu kitaanza kunyanyuka soon
pale ni ujenz wa sgr umeanza watu wameanza kubomoa nyumba zaoKiongoz hivi yale mabati yaliyowekwa mkuyuni kuelekea mswahili usawa wa reli ni nini? Je ni ujenzi wa sgr? Je ni ujenzi wa tuta? Je ni ujenzi flyover ya kupitisha train? Au ni nini? Naombeni mnitoe tongotongo.
Upanuzi walisema utaanzia mkuyuni.BARABARA YA KENYATA
upanuzi wa barabara umekuwa ni kilio Cha wengi .. barabara hii ni njia ya kuingilia mwanza kutokea karibu mikoa yote ya Tanzania isipokuwa simiyu na Mara ..licha ya kuwa lango kuu la usafirishaji mwanza lakin ndio barabara yenye mwonekano wa kizamani usio endana na majiji ya kisasa nasema HIV sio Kwa sababu tu hii njia sio dual carriage pia mifumo yake ya kiusalama ni mibovu na haiendani na wakati pamoja na mahitaji wa watu ..Hali hii inadhihirishwa na ukosefu [emoji117]taa za kumlikia magari,alama za barabarani,uchakavu wa lami (kuanzia buhongwa Hadi nyegezi) n.k .....
Serikali bado inatafuta pesa za ujenzi wa barabara hii lakini Kuna changamoto kubwa katika ujenzi wa barabara hii ambazo ni [emoji116]
-kuanzia Pepsi Hadi voil itabidi walipe mabilion ya fidia kuondoa viwanda na majengo yaliyopo hapo
-mkuyuni napo sioni nafasi ya kutosha ya ujenzi
Buhongwa na mkolani Kuna sheli za kutosha kwenye hifadhi ya barabara..hata nyegezi terminal ukuta wake uko barabarani ....
Kwa factor hizi serikali itachelewa sana kujenga hii barabara....
USHAURI
kama serikali haina pesa za kutosha bas waboreshe hii road Kwa kuweka mifumo yote Ya usalama barabarani...na kujenga feeder road za mkuyuni Hadi nyakato, buhongwa to igoma ,na butimba via saut to mkolaniView attachment 2388449View attachment 2388450
Hivi ujenzi wa barabara ya mkuyuni adi nyakato inajengwa au ni fununu tu za wananzengo wa humu.BARABARA YA KENYATA

Kama wataanzia mkuyuni..zinakuwaje km 25 ..then maeneo yenye hyo barabara ni Pepsi , mkuyuni na nyegezi .....unapoexlude kufanya expansion ya barabara Pepsi ..nakuwa Sion maana sasaUpanuzi walisema utaanzia mkuyuni.
Siku nikijaa mwanza ,,nitapata A.TO Z Kwa sababu mi naishi mahina relin,ambako mradi unapitaHivi ujenzi wa barabara ya mkuyuni adi nyakato inajengwa au ni fununu tu za wananzengo wa humu.
Ila kwenye bajeti ya wizara ya mwaka huu nikiona hyo road..Hivi ujenzi wa barabara ya mkuyuni adi nyakato inajengwa au ni fununu tu za wananzengo wa humu.
Kuna namna watafanya nazan coz hiyo sehemu imejaa viwanda pia kuna GBP hapo.Kama wataanzia mkuyuni..zinakuwaje km 25 ..then maeneo yenye hyo barabara ni Pepsi , mkuyuni na nyegezi .....unapoexlude kufanya expansion ya barabara Pepsi ..nakuwa Sion maana sasa
Wafanye mambo chap sasa nyamagani nayo iweze kupata barabara ya mfano kama ile ya ilemela, sabasaba road😍😍Ila kwenye bajeti ya wizara ya mwaka huu nikiona hyo road..
Wakiishika TARURA tumeisha ...[emoji16]Wafanye mambo chap sasa nyamagani nayo iweze kupata barabara ya mfano kama ile ya ilemela, sabasaba road[emoji7][emoji7]
Hyo barabara tuliahidiwa na mabula Toka kampeni ya mwaka 2015 ..Wafanye mambo chap sasa nyamagani nayo iweze kupata barabara ya mfano kama ile ya ilemela, sabasaba road[emoji7][emoji7]
Tanroad hawawezi kutoa tender kwa tarura, tarura wataendeleza zile barabara zilizokomea njiani, kama ya bulale, pake mkolani, pale luchelele, ile ya mawe pale mhandu, na nyashana.Wakiishika TARURA tumeisha ...[emoji16]
Mbona na hayati Magufuli kwenye kampeni zake 2015 alituaidi barabara ya buhongwa adi kishiri mpaka leo holaaaa.Hyo barabara tuliahidiwa na mabula Toka kampeni ya mwaka 2015 ..
Huwa ni Nani anaamua hii ijengwe na hii isubiri?Wakati mwanza tunalia barabara zetu za kenyatta na nyerere zenye urefu wa km 50 zitanuliwe kwa njia 4 kule mbeya serikali hv karibuni itaanza ujenzi wa barabara ya igawa to tunduma yenye km 218 kwa njia 4 [emoji1][emoji1][emoji1]
Bunge na wizaraHuwa ni Nani anaamua hii ijengwe na hii isubiri?