[emoji3][emoji3] wewe nyamagana hua unapita barabarani eeeeh!! hapa mwanza hakuna kata nzuri kama nyegezi ikifutiwa na igomaNyamagana residential area nzuri ni capripoint, mwananchi, isamilo na nera pengine pakawaida tu, lakini ilemela ni simba wa maeneo bora hapa Tanzania kama, bwiru, nyasaka, pasiansi, lumala[emoji7][emoji7], kiseke, ilemela, malaika area, kirumba, nyamhongolo, mecco, nundu, kangaye, buzuruga na buswelu nenda hayo maeneo kalinganishe na utopolo wa nyamagana na hayo maeneo ya ilemela yamepitiwa na lami safi standard hakika ilemela ni taswira ya makazi bora hapa Tanzania.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji3][emoji3] wewe nyamagana hua unapita barabarani eeeeh!! hapa mwanza hakuna kata nzuri kama nyegezi ikifutiwa na igoma
Igoma ukitoa mitaa ya Mandela,ndama,ushashin nk igoma ni nzuri sana
Hivi asingekuwa jpm tungepata hizi stend kweli!? Mwanza ni mji uliotekekezwa saanaJapokuwa stendi...ni nzuri pia hatuwezi kuipa low ranks[emoji116]View attachment 2380313
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
We mtu wa misungwi .hupaswi kuzungumzia mwanza..[emoji28][emoji28][emoji28]soon mnahamishiwa mkoa Mpya wa kwimba ..baada sensa ya watu na makaziMwanza ingekuwa na miundombinu mizuri haikupaswa kuitwa "mikoani" kwangu huwa nalichukulia Kama neno lilikojaa dharau na kejeli tu
Tungepata lakin Kwa kuchelewa au kusubiri wafadhiliHivi asingekuwa jpm tungepata hizi stend kweli!? Mwanza ni mji uliotekekezwa saana
Hv dar sio mkoan etiMwanza ingekuwa na miundombinu mizuri haikupaswa kuitwa "mikoani" kwangu huwa nalichukulia Kama neno lilikojaa dharau na kejeli tu
Bora buhongwa, lwanhima tuungane na nyashishi tutengeneze ka wilaya ketu[emoji16]We mtu wa misungwi .hupaswi kuzungumzia mwanza..[emoji28][emoji28][emoji28]soon mnahamishiwa mkoa Mpya wa kwimba ..baada sensa ya watu na makazi
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa .na tuwahamishie mkoa wa kwimba ...Bora buhongwa, lwanhima tuungane na nyashishi tutengeneze ka wilaya ketu[emoji16]
Mwanza inaanzia nyegezi inaishia nyamhongolo..Bora buhongwa, lwanhima tuungane na nyashishi tutengeneze ka wilaya ketu[emoji16]
Nyamhongolo hamna Mwanza pale ile ni magu iliyochangamshwa
Nyamhongolo..ni mjini pale bwana huoni stendi Iko hapoNyamhongolo hamna Mwanza pale ile ni magu iliyochangamshwa
Akili zako ni Kama zile za watu wa tarura wanatujazia mikokoto barabarani wanasema eti wamejenga kwa kiwango cha lamiNyamhongolo..ni mjini pale bwana huoni stendi Iko hapo
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
[emoji28] TARURA..wanakera bas tuAkili zako ni Kama zile za watu wa tarura wanatujazia mikokoto barabarani wanasema eti wamejenga kwa kiwango cha lami
Sio singida tu, waha wamejaa, wachaga nao hawako nyumaKweli kabisa brother...... mwanza ni jiji Zuri ambalo majira yote ya mwaka linapendeza na kimbilio la vijana wengi Kanda ya ziwa .na siku hizi naona watu wa singida wanahamia sana mwanza.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Na sa hv air Tanzania wana flight mara nne Kwa sikuSio singida tu, waha wamejaa, wachaga nao hawako nyuma
Hivi mlishagundua wakenya nao huja kutalii mza.
Watu wa dar wenye uwezo nao huruka kuja mza weekend then wanarudi
Haya majengo ni JV, kiukweli hakuna jengo refu ambalo nhc kasimama peke yake mzaNadhn ulikua hujui ndo maan ulizan NHC wanajenga nyumb tu kawaid ila hayo na majengo mengne hapo mwanz n ya NHC
Halafu angalia yasivyokuwa na mvuto, nhc ubunifu zero, wanazidiwa na nyanzaNadhn ulikua hujui ndo maan ulizan NHC wanajenga nyumb tu kawaid ila hayo na majengo mengne hapo mwanz n ya NHC