Mi sipingi kujengwa apartment mjini ....na Wala sijasema serikali haina impact kwenye ujenzi wa CBD ..sisi tunaisema NHC unayoisifia kuwa wako out of the date na portfolio zao ni non value hasa kwenye jiji la mwanza,na dodoma project za kizamani sana .....mbona siwasemi NSSF,au PSSSF Kwa sababu investment zao Mara nyingi ziko vizuri na tunawashukuru Kwa Hilo ....Nyie bhn mnachekesha san iv mnajua majengo meng mnayopiga pich hayo majengo marefu ya gorofa nane n NHC
Alafu nadhn kun iman kua dar ndo jiji la ote la nchi kwhio likijengwa watu wanakaa kimya ila ikijengwa mwanz hawaon km n second city wanaon km n mji wa wasukum na wanaojengew n wasukum so watu wanapiga kelel ikijengwa arush watu wanapig kelel ikijengw mbey watu wansem wanapendelew kwhio mikoa mingne inaon km wapo saw na mwanz na wanaon pia hawatendew haki icho n kitu ambcho kipo chin chinUmeongea point sana, kenya kila jiji lina flyovers kama vile kisumu, nairobi, mombasa na nakuru, kuna mabarabara ya njia sita sita mpaka nane, lakini Tanzania ila uone flyovers au interchange lazima uende dar tu, hii nchi imekaa kisenge sana mkuu, tunapoitwa masikini na washamba tuanze kulalamika.
Kama jengo gani la gorofa nane la nhc nambie asee, au wewe ni wakala wa nhc umekuja kutetea shirika kandamizi kwa jiji la mwanza? ๐๐Nyie bhn mnachekesha san iv mnajua majengo meng mnayopiga pich hayo majengo marefu ya gorofa nane n NHC
tumesema sana ......lakin mwisho wa siku tunabaki vilevile... huwez na jiji la watu almost milioni 1 .then barabara ni Giza tupu ,,,,, institution investment ni low,,,yaani mwanza watu wa kawaida wanajenga kuliko kiwango Cha uwekezaji unaofanyikAUmeongea point sana, kenya kila jiji lina flyovers kama vile kisumu, nairobi, mombasa na nakuru, kuna mabarabara ya njia sita sita mpaka nane, lakini Tanzania ila uone flyovers au interchange lazima uende dar tu, hii nchi imekaa kisenge sana mkuu, tunapoitwa masikini na washamba tuanze kulalamika.
Sijaiona ghorofa nane za NHC mwanza .maybe NSSF na PSSSFKama jengo gani la gorofa nane la nhc nambie asee, au wewe ni wakala wa nhc umekuja kutetea shirika kandamizi kwa jiji la mwanza?
We tu hujanielew boss sjaisifia mm ila nilkua nawajbu mnavosem kua wasje na wasjenge wakt wanaviwanja ving Karbu miji yote nchin na majengo meng tu kwmba hawatakiw nkasem sio saw wanaitajik na wanamchngo San kwen miji ndo nmekutolea mfno upanga na ww ukasem morocco square wamefny vzur....mbon dar wanafany vzur na wanajenga majengo ya kuelewek so n ishu ya wao kutodharau miji nje ya dar uktoa arusha wajenge km wanavojenga dar ndo nilchokua namaanshMi sipingi kujengwa apartment mjini ....na Wala sijasema serikali haina impact kwenye ujenzi wa CBD ..sisi tunaisema NHC unayoisifia kuwa wako out of the date na portfolio zao ni non value hasa kwenye jiji la mwanza,na dodoma project za kizamani sana .....mbona siwasemi NSSF,au PSSSF Kwa sababu investment zao Mara nyingi ziko vizuri na tunawashukuru Kwa Hilo ....
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo serikali haiwezi kuweka miundombinu kwenye second city kwasababu ya kelele za watu, naona tungekuwa na utawala wa kimajimbo kama kenya hili jiji lingekuwa na miundo mbinu bora na jiji lingevutia sana.Alafu nadhn kun iman kua dar ndo jiji la ote la nchi kwhio likijengwa watu wanakaa kimya ila ikijengwa mwanz hawaon km n second city wanaon km n mji wa wasukum na wanaojengew n wasukum so watu wanapiga kelel ikijengwa arush watu wanapig kelel ikijengw mbey watu wansem wanapendelew kwhio mikoa mingne inaon km wapo saw na mwanz na wanaon pia hawatendew haki icho n kitu ambcho kipo chin chin
Umeongea point.....ni kama kelele zilizopigwa ujenzi wa barabara ya airport...na ujenzi wa daraja la JPM .. hii sukuma phobia Ina negative impact huko mbeleAlafu nadhn kun iman kua dar ndo jiji la ote la nchi kwhio likijengwa watu wanakaa kimya ila ikijengwa mwanz hawaon km n second city wanaon km n mji wa wasukum na wanaojengew n wasukum so watu wanapiga kelel ikijengwa arush watu wanapig kelel ikijengw mbey watu wansem wanapendelew kwhio mikoa mingne inaon km wapo saw na mwanz na wanaon pia hawatendew haki icho n kitu ambcho kipo chin chin
Hapa nimekuelewa ...swali lazima pia ujiulize kwann waidharau ,...We tu hujanielew boss sjaisifia mm ila nilkua nawajbu mnavosem kua wasje na wasjenge wakt wanaviwanja ving Karbu miji yote nchin na majengo meng tu kwmba hawatakiw nkasem sio saw wanaitajik na wanamchngo San kwen miji ndo nmekutolea mfno upanga na ww ukasem morocco square wamefny vzur....mbon dar wanafany vzur na wanajenga majengo ya kuelewek so n ishu ya wao kutodharau miji nje ya dar uktoa arusha wajenge km wanavojenga dar ndo nilchokua namaansh
Kingine hiyo dar sio ya wote na hii kitu inasababisha hii nchi isiendelee kila huwekezaji lazima ufanye dar, na dar una limited resources na inafanya ata dgp iwe ndogo coz hakuna huwekezaji miji mingine yenye resources za kutosha, huu utahira wakuamini dar ndio kila kitu tutakuwa nyuma ya wenzetu kila mwaka kiuchumi, tazama kenya gdp yao ilivyo, miji karibu yote ina kila kitu na majiji yote yanamiundombinu inayofanana.Alafu nadhn kun iman kua dar ndo jiji la ote la nchi kwhio likijengwa watu wanakaa kimya ila ikijengwa mwanz hawaon km n second city wanaon km n mji wa wasukum na wanaojengew n wasukum so watu wanapiga kelel ikijengwa arush watu wanapig kelel ikijengw mbey watu wansem wanapendelew kwhio mikoa mingne inaon km wapo saw na mwanz na wanaon pia hawatendew haki icho n kitu ambcho kipo chin chin
Maendeleo ya mwanza yatawezekana chap kama tutakuwa na mfumo wa uongozi wa marekani,...Kila mkoa ujitegemee na resources zake ..Kwa hiyo serikali haiwezi kuweka miundombinu kwenye second city kwasababu ya kelele za watu, naona tungekuwa na utawala wa kimajimbo kama kenya hili jiji lingekuwa na miundo mbinu bora na jiji lingevutia sana.
Ushamba tu wa viongozi wetu ..sura ya nchi sio dar tu .sura ya nchi ni mwanza ,dodoma,Arusha na huko dar .....Kingine hiyo dar sio ya wote na hii kitu inasababisha hii nchi isiendelee kila huwekezaji lazima ufanye dar, na dar una limited resources na inafanya ata dgp iwe ndogo coz hakuna huwekezaji miji mingine yenye resources za kutosha, huu utahira wakuamini dar ndio kila kitu tutakuwa nyuma ya wenzetu kila mwaka kiuchumi, tazama kenya gdp yao ilivyo, miji karibu yote ina kila kitu na majiji yote yanamiundombinu inayofanana.
Milima ya Mwanza city ni kama Lulu kwenye tope, ndio maana wa Brazil walichungulia fursa huko, siasa ilivyo na nguvu wawekezaji wakapotezwa.Santorini.greece ... viongozi wetu hawaendi kujifunza bas hata smartphone zao haziwasaidii kuona haya..
NHC ,TBA,CITY COUNCIL.walikuwa na uwezo wa kuingia hata ubia na private sector wakajenga apartment kama hzi kwenye milima yote iliyopo city center..na apartment zote zingepata wapangaji ...
View attachment 2380027View attachment 2380028View attachment 2380029
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
N ishu ambyo inasumbua san nchin japo haionekn km n tatzo wanpuuzia tu japo wanajua...nmefatilia nchi nyng kwen masual ya miji na majiji nch za watu....miji inashare national cake nch nyngne lkn km ulvosem Kenya miji yao maendeleo yanaendan atleast haziaachn san hivo watu wanakua hawaon sabb ya kukimbilia nairob tu coz vinavoptkn nairob na miji mingne vinaptkn miji ming kenya sio nairob tu ina majengo mazur sas sis kila ktu dar hata kuamish mji kwend dodom ilikua na vita hawakutak ilikua n nguvu ya maguful ila nadhn isngetokea ivo jpo mpka sas n vuta vuta...matajir ote wanasias wasaniii viongoz mbalmbal wanakaa dar n ushamba n mawazo finyu kua lazm ote tukae dar why!! Nchi n kubw na kil mkoa unawez kua na investments kubw na kila mkoa una nature yake resources zake tungejeng vzur kila mtu asngekua na haja ya kwend dar Vyuo vyote vikuu home of all private sectors sa kwann watu wote wasiende kule na watu wanatafut maish...Home of all media's wakt ukiangalia miji ya marekan kila jiji limeendelea kwa namna yake nature yake na viongoz mastaa,watu maruufu wankaa miji tofaut tofaut coz kilichopo los angels,kipo New York,kipo san Francisco at washgton sas mwanz tok iwe jiji tok 2002 had leo hamn hata dual carriage barbar kuu ya kuingia na kutokea wakt dar zipo zaid ya kum 10Kingine hiyo dar sio ya wote na hii kitu inasababisha hii nchi isiendelee kila huwekezaji lazima ufanye dar, na dar una limited resources na inafanya ata dgp iwe ndogo coz hakuna huwekezaji miji mingine yenye resources za kutosha, huu utahira wakuamini dar ndio kila kitu tutakuwa nyuma ya wenzetu kila mwaka kiuchumi, tazama kenya gdp yao ilivyo, miji karibu yote ina kila kitu na majiji yote yanamiundombinu inayofanana.
Kwa ukubwa wa nairobi nilitegemea hiwe na watu zaidi ya milion 10 lakini hawazidi hata milioni nne ni kama mkoa wa mwanza tu, nazani ni kwasababu wakenya wengi hawakimbilii nairobi coz wanapata kila kitu kwenye miji yao, kila miji ya kenya ina malls za uhakika, barabara za uhakika real estate za uhakika njoo huku kwa washamba kil kitu ni dar n sehemu nyingine ni hanasa.N ishu ambyo inasumbua san nchin japo haionekn km n tatzo wanpuuzia tu japo wanajua...nmefatilia nchi nyng kwen masual ya miji na majiji nch za watu....miji inashare national cake nch nyngne lkn km ulvosem Kenya miji yao maendeleo yanaendan atleast haziaachn san hivo watu wanakua hawaon sabb ya kukimbilia nairob tu coz vinavoptkn nairob na miji mingne vinaptkn miji ming kenya sio nairob tu ina majengo mazur sas sis kila ktu dar hata kuamish mji kwend dodom ilikua na vita hawakutak ilikua n nguvu ya maguful ila nadhn isngetokea ivo jpo mpka sas n vuta vuta...matajir ote wanasias wasaniii viongoz mbalmbal wanakaa dar n ushamba n mawazo finyu kua lazm ote tukae dar why!! Nchi n kubw na kil mkoa unawez kua na investments kubw na kila mkoa una nature yake resources zake tungejeng vzur kila mtu asngekua na haja ya kwend dar Vyuo vyote vikuu home of all private sectors sa kwann watu wote wasiende kule na watu wanatafut maish...Home of all media's wakt ukiangalia miji ya marekan kila jiji limeendelea kwa namna yake nature yake na viongoz mastaa,watu maruufu wankaa miji tofaut tofaut coz kilichopo los angels,kipo New York,kipo san Francisco at washgton sas mwanz tok iwe jiji tok 2002 had leo hamn hata dual carriage barbar kuu ya kuingia na kutokea wakt dar zipo zaid ya kum 10
Hamna kitu watu walinikera kama kipind hicho wabrazili wamekuja .ushamba Ni ignorance ilituponza .na wanasiasa wakapitiamo ,,,wameshindwa kujua kuwa hata halimshauri inaweza kujenga apartment blocks milimani na ikaacha kutegemea ushuru wa taka kama chanzo cha mapato .......hata ulaya waliendelea baada ya kuacha Imani katika ushirikina na conspiracy na kuegemea mageuzi katika Kila mfumo na sektaMilima ya Mwanza city ni kama Lulu kwenye tope, ndio maana wa Brazil walichungulia fursa huko, siasa ilivyo na nguvu wawekezaji wakapotezwa.
Muda mwingine ushamba mzigo.Hamna kitu watu walinikera kama kipind hicho wabrazili wamekuja .ushamba Ni ignorance ilituponza .na wanasiasa wakapitiamo ,,,wameshindwa kujua kuwa hata halimshauri inaweza kujenga apartment blocks milimani na ikaacha kutegemea ushuru wa taka kama chanzo cha mapato .......hata ulaya waliendelea baada ya kuacha Imani katika ushirikina na conspiracy na kuegemea mageuzi katika Kila mfumo na sekta
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Siku ikatokea Zanzibar ikapata kiongozi chizi na akaiteka dar es salaam.ndio akili itakaa sawa ....uchumi wote wa nchi utakuwa umemezwaN ishu ambyo inasumbua san nchin japo haionekn km n tatzo wanpuuzia tu japo wanajua...nmefatilia nchi nyng kwen masual ya miji na majiji nch za watu....miji inashare national cake nch nyngne lkn km ulvosem Kenya miji yao maendeleo yanaendan atleast haziaachn san hivo watu wanakua hawaon sabb ya kukimbilia nairob tu coz vinavoptkn nairob na miji mingne vinaptkn miji ming kenya sio nairob tu ina majengo mazur sas sis kila ktu dar hata kuamish mji kwend dodom ilikua na vita hawakutak ilikua n nguvu ya maguful ila nadhn isngetokea ivo jpo mpka sas n vuta vuta...matajir ote wanasias wasaniii viongoz mbalmbal wanakaa dar n ushamba n mawazo finyu kua lazm ote tukae dar why!! Nchi n kubw na kil mkoa unawez kua na investments kubw na kila mkoa una nature yake resources zake tungejeng vzur kila mtu asngekua na haja ya kwend dar Vyuo vyote vikuu home of all private sectors sa kwann watu wote wasiende kule na watu wanatafut maish...Home of all media's wakt ukiangalia miji ya marekan kila jiji limeendelea kwa namna yake nature yake na viongoz mastaa,watu maruufu wankaa miji tofaut tofaut coz kilichopo los angels,kipo New York,kipo san Francisco at washgton sas mwanz tok iwe jiji tok 2002 had leo hamn hata dual carriage barbar kuu ya kuingia na kutokea wakt dar zipo zaid ya kum 10
Nendeni mkalundikane dar kwenu.๐๐๐N ishu ambyo inasumbua san nchin japo haionekn km n tatzo wanpuuzia tu japo wanajua...nmefatilia nchi nyng kwen masual ya miji na majiji nch za watu....miji inashare national cake nch nyngne lkn km ulvosem Kenya miji yao maendeleo yanaendan atleast haziaachn san hivo watu wanakua hawaon sabb ya kukimbilia nairob tu coz vinavoptkn nairob na miji mingne vinaptkn miji ming kenya sio nairob tu ina majengo mazur sas sis kila ktu dar hata kuamish mji kwend dodom ilikua na vita hawakutak ilikua n nguvu ya maguful ila nadhn isngetokea ivo jpo mpka sas n vuta vuta...matajir ote wanasias wasaniii viongoz mbalmbal wanakaa dar n ushamba n mawazo finyu kua lazm ote tukae dar why!! Nchi n kubw na kil mkoa unawez kua na investments kubw na kila mkoa una nature yake resources zake tungejeng vzur kila mtu asngekua na haja ya kwend dar Vyuo vyote vikuu home of all private sectors sa kwann watu wote wasiende kule na watu wanatafut maish...Home of all media's wakt ukiangalia miji ya marekan kila jiji limeendelea kwa namna yake nature yake na viongoz mastaa,watu maruufu wankaa miji tofaut tofaut coz kilichopo los angels,kipo New York,kipo san Francisco at washgton sas mwanz tok iwe jiji tok 2002 had leo hamn hata dual carriage barbar kuu ya kuingia na kutokea wakt dar zipo zaid ya kum 10
Adui wa nchi ni ujinga,+ siasa zisizo na maanaMuda mwingine ushamba mzigo.