Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Kuna ujinga upo siku hiziTatizo linaanzia kwetu sisi .wananchi kujiona ni wanyonge tunaonelewa na kuwa brainwashed na conspiracy theories,,,mwananchi akizuiwa msijenge sehemu flan ,tunasema nchi imeuzwa ,sijui wamepewa watu flani ..hili suala linafanya hata wataalamu wetu wenye mawazo Bora kukataliwa na wanasiasa wanaosimamia sera ili tu kuwafurahisha baadhi ya wananchi watakaowahakikishia ulaji ....
Dawa ya kuleta maendeleo hapa mwanza ni kuwaondoa watu ujinga walionao na wakubali mabadiliko yenye maumivu
View attachment 2374173
Kama kawa ijaze video ili ufurahie upepo mwanana wa ziwa victoria
Hizi barabara tarura/tanroad wangekuwa wanachora alama kila zikifutika hapo pangewaka balaa.View attachment 2374173
Kama kawa ijaze video ili ufurahie upepo mwanana wa ziwa victoria
Karibu sanaWow sijawahi kufika Mwanza, Ths year nimepanga kupaona...I'm praying ...
It's too late brother. .milima yote mwanza imeisha ,na iliyobaki ya pembeni kama mahina reli na ibanda kule Kuna miamba flan amazing lakin jiji halina muda napo ,watu wanajipimia viwanja Hadi vya laki 3 , wanajenga Hadi juu ya jiwe na vyoo kule hamna ni vurugu tupuKuna ujinga upo siku hizi
Eti tunahalalisha maeneo yenu watakuja wawekezaji mlipwe pesa.
Kiukweli hakuna mwekezaji atakuja tunachafua mji tu.
Wasimamie sheria,
Mtu akijenga vunja, wakivunjiwa watu 20 hivi wengine wataanza kuogopa hakuna anayependa hasara.
Karibu sana, mwenyeji wa wapi?Wow sijawahi kufika Mwanza, Ths year nimepanga kupaona...I'm praying ...
Thanks nimeona hata bei ya villas ni nzuri, tumepanga kufanya booking ths October.Karibu sana
Karibu sana, mwenyeji wa w
Iringa, kikazi DsmKaribu sana, mwenyeji wa wapi?
Karibu sana, hata ukitaka kuhamia kabisa sawa tu😂😂Iringa, kikazi Dsm
Hahahaaa ahsante Jamani🙏🙏🙏Karibu sana, hata ukitaka kuhamia kabisa sawa tu😂😂
Kuna mradi wa viwanja /Igombe changamkia fursaHahahaaa ahsante Jamani🙏🙏🙏
Naona unataka niweke makazi kabisa hahaha!!Kuna mradi wa viwanja /Igombe changamkia fursa
Tena huko ni karibu na ziwa unapulizwa upepo, hapo Igombe samaki kibao sio wa kwenye friji, huku hatuli wa kwenye friji.Naona unataka niweke makazi kabisa hahaha!!
Hapo kwenye samaki, naona Nita enjoy sanaaa!!Tena huko ni karibu na ziwa unapulizwa upepo, hapo Igombe samaki kibao sio wa kwenye friji, huku hatuli wa kwenye friji.
Dhambi sio nyingi sana hivyo hakuna tsunami
Lakini Iringa kuzuri pia.
Mimi huwa naona Iringa nzuri kushinda mbeya
Ahsante, nilipitaga zamani enzi za Scandinavia, nilienda mbeyaHapo kwenye samaki, naona Nita enjoy sanaaa!!
Karibu Iringa na wewe
😂 😂 😂 😂 😂Iringa ni mji msafi sana bila shaka kuzidi miji yote TZ
Moshi ni mji msafi zaidi ila umekaa kikongwe SanaIringa ni mji msafi sana bila shaka kuzidi miji yote TZ