Bila kusahau hotel yenye hadhi ya nyota saba kubwa sana na jengo la ghorofa sita inaitwa lenana hotel karibu na pasiansi mataa kidogo nilipige picha jana ila nikaona nouma.Duh kama ni hotel ni lazima 4 star...then Hiyo road itakkuwa accomodation site ..Kuna hotel classic Kama 5 .kuanzia edden palace pasiansi Hadi hotels farms ghana
Kishiri wataua kivip? Nambie sisi ndio wadau wa hili jiji😅😅kishili nahisi ndo itaua
Roho mbaya tu na kukosa maono na uzalendo.Tatizo viongozi wakiwa kwenye makongamano ni wazuri kuhutubia ila wakiwa ofisini ni ukiritimba mtupu.. Kwan ni wawekezaji wangapi wameonesha ya kuwekeza na wamepigwa chini
wingi wa watu wa buhongwa unautazama wapi au sokoni pale ..wengi unaowaona pale buhongwa ni wakazi wa mkolani na nyegezi wanaenda Fanya shopping pale ..ila mtaa ambao una population natural ni igoma...igoma Ina watu aisee ..eneo ambalo wasukuma huwambii kitu wanapoenda kuanza maisha ni igoma ..Kila anayeanza maisha anatamani akaanzie maisha igoma .Pako cheap na biashara Iko hotkishili nahisi ndo itaua
[emoji16][emoji16][emoji16] you're too much in exaggerating matterBila kusahau hotel yenye hadhi ya nyota saba kubwa sana na jengo la ghorofa sita inaitwa lenana hotel karibu na pasiansi mataa kidogo nilipige picha jana ila nikaona nouma.
Nadhan kishiri inaambukizwa na igomaKishili watu ni wengi sio mchezo ukiwa buhongwa kuna bajaji nyingi sana za kishili
Butimba ,[emoji848][emoji848]si bora ungeweka nyegezi hapoKata zitakazokuwa na watu wengi baada ya matokeo ya sensa
1.buhongwa
2.butimba
3.igoma
4.kishili
5mhandu
Kishili inapanuka kwenda fumagila watu ni wengi sanaNadhan kishiri inaambukizwa na igoma
😂😂😂 wadau humu wamepoa au wanachakata mbususu.[emoji16][emoji16][emoji16] you're too much in exaggerating matter
Watengeneze hilo barabara chap tuone uzuri wa mji.Kishili watu ni wengi sio mchezo ukiwa buhongwa kuna bajaji nyingi sana za kishili
Ata mimi nikiwa nataka kuchakata mbususu huwa nazipeleka igoma😋😋😋😋😋😋wingi wa watu wa buhongwa unautazama wapi au sokoni pale ..wengi unaowaona pale buhongwa ni wakazi wa mkolani na nyegezi wanaenda Fanya shopping pale ..ila mtaa ambao una population natural ni igoma...igoma Ina watu aisee ..eneo ambalo wasukuma huwambii kitu wanapoenda kuanza maisha ni igoma ..Kila anayeanza maisha anatamani akaanzie maisha igoma .Pako cheap na biashara Iko hot
[emoji14][emoji16][emoji16]Ata mimi nikiwa nataka kuchakata mbususu huwa nazipeleka igoma[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
1.buhongwaKata zitakazokuwa na watu wengi baada ya matokeo ya sensa
1.buhongwa
2.butimba
3.igoma
4.kishili
5mhandu
Sa mahina Tena ...ambapo ndio pamechangamka juzi ...Nyegezi kwa butimba hapana butimba ni kubwa sana Hadi kanyerere huko watu ni wengi sana labda ungesema mahina
1.buhongwa
2.Igoma
3.mkolani
4kishiri
5.Nyegezi
Mkolani haina wengi kama butimba mKuu hata mhandu ina wengi1.buhongwa
2.Igoma
3.mkolani
4kishiri
5.Nyegezi
Mkolani unaichukuliaje mkuu, mkolani ni kubwa sana tena ipo more populatedNyegezMkolani haina wengi kama butimba mKuu hata mhandu ina wengi