Rajab Endless
Senior Member
- Oct 2, 2019
- 121
- 167
Halmashauri itapiga pesa kinyama. Sema pesa zenyewe za mkopo kutoka wizara ya aridhi. Walikopeshwa kufanikisha zoezi la upangaji mji linatekelezwa kwa ufanisi.Kayenze..mwitikio ni mkubwa sana.
View attachment 2351837
Wamekopeshwa bilioni 3 wanapata billion 17 ..Halmashauri itapiga pesa kinyama. Sema pesa zenyewe za mkopo kutoka wizara ya aridhi. Walikopeshwa kufanikisha zoezi la upangaji mji linatekelezwa kwa ufanisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watapiga kwa sababu ni biasharaWamekopeshwa bilioni 3 wanapata billion 17 ..
Hata mimi nimefanya hivyo mwezi mei nilipokuja Mwanza kikaziHahaaa iyo ruti Kisesa- Nyashishi ni noma inachafua zaidi ya 20km...
Mi nikiwa likizo Mwanza huwa nachagua zile ruti ndefu mfano Airport - Kishiri au Kisesa nakaa zangu seat ya mbele na driver naaenjoy madhari ya Mwanza nikifanya utalii wa ndani...
Na bado naona sheli nyingi kipande cha Usagara-Kisesa na Buhongwa - Igoma kuna sheli zitafunguliwa nyingi tuAisee nimeshangaa sana kipande Kati ya buhongwa na mkolani ambacho ni less than 5kms kina vituo vya mafuta karibu 20+[emoji23][emoji119]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ile njia ya kisesa to Usagara.. the future is exciting..Kuna shell Zaid ya tatu zinajengwa ,na Ile njia Iko strategically sana ,Kuna eneo linaitwa Kona ya fela ukiwa pale unakuwa kati kati ya wilaya 3 . misungwi,magu na nyamagana.hiki kieneo kimeanza kuchangamka kama una ona mbali ,Bora ununue eneo maeneo haya ..utakuja nishukuru baada ya miaka 5Na bado naona sheli nyingi kipande cha Usagara-Kisesa na Buhongwa - Igoma kuna sheli zitafunguliwa nyingi tu
Zamani barabara ya airport ilikuwa na sheli chache sana .lakin leo Kuna shelli za kutosha ... what's astonished me ni kwamba barabara ya pasiansi to buzuruga nilijua Ina magari machache ila siku hiz jion magari ni mengi sana plus daladala..ujenzi wa Petro station umepafanya nyasaka iwe ni great placeAisee nimeshangaa sana kipande Kati ya buhongwa na mkolani ambacho ni less than 5kms kina vituo vya mafuta karibu 20+[emoji23][emoji119]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Au unaisemea karibu na hospital ya kamanga?Nyegezi stand inayojengwa karibu na ile sheli yenye Atm za CRDB na nmb pemben naona wamezungushia mabati naona kuna gorofa linajengwa
Upande GaniHv Sasa hv nipo hapa maeneo ya ghana kuna gorofa naona linajengwa sasa hv naona wapo floor ya sita nahisi hilo jengo watajenga floor 10
Ninataka kununua eneo maeneo hayo, kuna mtaa unaitwa Igudija B kwahiyo unashauri nijichukulie???Ile njia ya kisesa to Usagara.. the future is exciting..Kuna shell Zaid ya tatu zinajengwa ,na Ile njia Iko strategically sana ,Kuna eneo linaitwa Kona ya fela ukiwa pale unakuwa kati kati ya wilaya 3 . misungwi,magu na nyamagana.hiki kieneo kimeanza kuchangamka kama una ona mbali ,Bora ununue eneo maeneo haya ..utakuja nishukuru baada ya miaka 5
Ofcourse,mi nakushauri ..Kwa sababu zifuatazo ..Ninataka kununua eneo maeneo hayo, kuna mtaa unaitwa Igudija B kwahiyo unashauri nijichukulie???
Transit nyingi za Mombasa-Rwanda/ DRC ndio itakuwa boda lao baada ya JPM bridge kuanza. Njia ya Mombasa Kupitia Kampala ni ndefu sana. Ndio maana walioona mbali njia nne hazikwepeki barabara ya Musoma hata hiyo ya Fela itaongezwa tu.Ile njia ya kisesa to Usagara.. the future is exciting..Kuna shell Zaid ya tatu zinajengwa ,na Ile njia Iko strategically sana ,Kuna eneo linaitwa Kona ya fela ukiwa pale unakuwa kati kati ya wilaya 3 . misungwi,magu na nyamagana.hiki kieneo kimeanza kuchangamka kama una ona mbali ,Bora ununue eneo maeneo haya ..utakuja nishukuru baada ya miaka 5